Simbachawene issue ya ulimboka imekuokoa

massai

JF-Expert Member
May 2, 2011
653
137
Jahkaya alisema ni upepo tu utavuma na utapita na leo hilo linaelekea kudhihirika kwani media zote zimejikita kwenye issue ya mgomo wa madokta na tukio la majasusi ya serekali ya sisiemu kumvamia na kumdhuru jemedari doctor wa ukweli ULIMBOKA.alijitahidi sana siku za mwanzo kuizima kashfa iliyokua ikimuandama ya uzinzi na kama ilivyo anaelekea kushinda alakini iko siku ukweli tutaubaini kwani ukweli huwa unaishi na ungo kamwe hauna maisha.
 
Acha umbeya.
Ya simbachawene ilikuwa udaku.
Stick on the serious issues. Hili jukwaa si la udaku
 
Acheni uzushi...watanzania ni watu wa ajabu sana ..mnapoteza muda mwingi kulumbana ktk mambo ya kipumbavu na kijinga...mtu amshasema mwenyewe na wengine tumefanya uchunguzi wa kina sio kweli mheshimiwa kupatwa na tukio lile....siye yeye ila kuna mfanyabia ndiye alipatwa na tukio na amefanana naye,na pia hata yeye afikia hapo hotelini...mmezusha na kuzusha kila pembe ya nchi ili iweje sasa...na umeata kitu gani kwa uzushi usio na maana???? acheni Ujinga
 
Mbona mapovu yanawatoka hivyo!? Mleta thread kasema ukweli utadhihiri na uongo hauna maisha. Tusubiri kama ni uongo ili waumbuke, kama ni ukweli basi yeye SC ndio aumbuke. Naunga mkono hoja!
 
Back
Top Bottom