MIAKA 50 YA UHURU: Kuna tukio lipi linalokushangaza, kukuudhi au hata kukufurahisha? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MIAKA 50 YA UHURU: Kuna tukio lipi linalokushangaza, kukuudhi au hata kukufurahisha?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by anophelesi, Jun 29, 2012.

 1. a

  anophelesi JF-Expert Member

  #1
  Jun 29, 2012
  Joined: May 25, 2012
  Messages: 615
  Likes Received: 291
  Trophy Points: 80
  Mimi ninayo mengi lakini hili lifuatalo limeniudhi mpaka nikacheka:-

  Kwamba miaka ya 70 Benki kuu ilikumbwa na janga la moto, ikadaiwa kiasi kikubwa cha fedha (noti) zimeungua!

  Uchunguzi uliokuja kufanywa na Scotland Yard ukabainisha kuwa majivu yaliyokutwa na kuchunguzwa ni ya mapumba ya ngano na hayahusiani na fedha!!!! Wakaamuriwa kuondoka nchini mara moja.

  Natambua kuwa fedha za noti zinatengenezwa kwa unga wa ngano, Lakini Bado naendelea kutafakari huku nikicheka (ironically though)!

  Wewe una ipi?
   
Loading...