Kamanda wa UVCCM, Kibaha Vijijini mkoa wa Pwani, Aida Mtei (pichani) amefariki dunia. Mipango ya Mazishi inafanyika Nyumbani kwa wazazi wake Mbezi kabla ya Rembow.
MAITI YA MAREHEMU LEO...
TMJ,Regency,Aga khan,CCBRT,Hindu mandal na lugalo ya jeshi.
pia serikali imeweka mkazo na kuongeza nguvu katika hospitali za mwananyamala,temeke na Amana.
Pia madaktari wastaafu na wale waliopo...
Nadhani na nitaendelea kudhani kuwa bw JK alidhamiria sana kuingia ikulu but ninachodhani mimi nikua hakua amejipanga yakua akiingia ikulu ataifanyia nini tanzania matokeo yake amekua akidandia...
Hayawi hayawi yamekuwa mwana wa nchi kaamua serikali iko kimya bunge kimya mahakama kimya sasa wananchi wanatenda ndio kauli yake nami mwanaharakati huru na muunga mkono ntaandamana. Yote kwenye...
Katika gazeti la Tanzania Daima la leo kuna habari hiyo.
Hapa napata maswali mengi kiliko majibu.
1.kwa nini kiasi hicho kisitumike kutekeleza madai ya madaktari na kutanzua mgogoro huo...
alitekwa akiwa na baadhi ya watu, maelezo yanasema waliambiwa waondoke na wanamtaka Dr ulimboka. swali je waliokuwepo baada ya kuona purukushani zile hawakupiga kelele, hawakuita watu wa jirani...
THINK;TANZANIA
A country where there is no even a single working CT Scan Machine...Is it true we cannot afford it, and we loose around 6% of Head Injury patients and discharge 99% of the same...
ANDIKO LA MWA-MKWECHE!
Jamani Ujamaa Umejengwa na Msingi wa Kuheshimu UTU wa Binadamu!
Kwa wale wanaosoma biblia Kuna Neno linasema Amri kubwa Kuliko zote ni UPENDO!
Waasisi wa Taifa hili...
Njaa itatumaliza. Tunavyoongea, Nchi ya Iran kupitia mawakala wale kwenye serikali yetu, wamefanikiwa kusajili meli zao kadhaa zinazobeba mafuta kukwepwa vikwazo vya kiuchumi vilivyowekwa na...
Wana JF,
Jana Bungeni Mbunge wa viti maalum CCM mh. Kwegir (Samahani kama nimekosea kuandika jina lake) alitoa machozi kulalamikia jinsi maalibino wanavyodharauliwa. Alililalamika kuwa mauaji ya...
Wakati Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limeunda kamati ya kufanya uchunguzi wa suala la kutekwa, kupigwa na kuumizwa vibaya Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madaktari, Dk. Stephen Ulimboka...
THINK;
A country where there is no even a single working CT Scan Machine...Is it true we cannot afford it, and we loose around 6% of Head Injury patients and discharge 99% of the same patients...
Ndugu Lukuvi anawasilisha hoja ya serikali kufanya mazungumzo na NSSF ili wajenge ofisi ya kila mbunge jimboni na ameinda zaidi kwa kusema mbunge ni taasisi hivyo kuna haja ya kila mbunge awe na...
Wadau nimemsikia spika makinda si mara moja akikemea kuomba mwongozo kua kunapoteza muda wa kujadili mambo muhimu.
Sasa swali langu kwa waelewa wa masuala ya bunge je?
Kuomba muongozo ni kinyume...
Mzanzibari mwenzetu mwengine ametangulia mbele ya haki leo katika hospitali ya mnazi mmoja baada ya kufyatuliwa risasi ya moto eneo la darajani, maziko yake yanategemewa kufanyika kijichi lakini...
Kwa anayesikiliza bunge ataona jinsi wabunge wa walivyoamua kuwa wajinga.wabunge wengine wanatukana matusi,wawaitana kuwa wenzao hawana maadili sijui maadili gani?Ukishakuwa mbunge umeenda fanya...
1: alishabikia mkasa uliopata Jerry Muro
2: amemteua ACP Msangi kuwa mkuu wa upelelezi wa tukio la kuteswa kwa Dk.Ulimboka wakati ACP Msangi ni mtuhumiwa wa tukio lenyewe.
3:amedanganya ya kwamba...
Imekuwa na kawaida ya mastaa wa bongo hasa wa Kitengo chakucheza sinema na wanaopiga muziki (Bongo Flava) kutambiana wao kwa wao kwa pesa. Na kweli tunaona hata matumizi yao au magari, nyumba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.