Nimefuatilia sana mgogoro uliopo kati ya serikali na madaktari na kugundua kuwa;
1. wakati madaktari wana madai yao kwa serikali kutekeleza yenyewe inafanya kila mbinu kuyazuia madai hayo na...
tangia tupate uhuru hatujapata serikali dhaifu kama hii ambayo rais hatoi tamko kutokana na hali tete alifanikiwa kwenda msibani kwa kanumba lakini steven ulimboka kwa rais ni kama kalazwa india...
KATIKA toleo Na. 229, niliandika kwenye safu hii kuwauliza watawala wetu ni lini hasa Tanzania itawakamata kina James Ibori wetu.
Niliandika makala hiyo kufuatia tukio la wiki hiyo la fisadi la...
Madaktari.
Mgomo wa Madaktari ni Uhaini. Legacy of Ashes at Work! inawezekana vipi Daktari aliyeapa kuokoa maisha akawa mstari wa mbele katika kuangamiza maisha?
Acheni siasa okoeni maisha...
Bado nawaona wabunge wengi wakiendelea kuikumbushia serikali kuhusu utekelezaji wa ahadi alizotoa JK wakati ule wa uchaguzi mkuu. Kwa upande mwingine wabunge wengi wa Zanzibar wameendelea kuihoji...
Nafikiri kunahitajika kwa Chama cha Madaktari kuripoti story nzima wakianzia kwenye vyombo vya Ubalozi ,bila ya kuchelewa wafungue mashtaka pale Arusha ,huyo alietorokea S/Africa inawezekana...
Ni bora kwa sasa kwa kila anaehitaji kuingia hapo kwenye chumba cha mgonjwa NI LAZIMA AWE NA KITAMBULISHO MAALUM NA DHARURA ILIYOMFANYA ATAKE KUMUONA MGONJWA ,ICU si ruhusa mgonjwa kutembelewa...
Wanajanvi kwa yeyeote mwenye taarifa ya ya huyu jaamaa ambaye ni mkenya JOHN ODORE anayemiliki kampuni ya ELECTRONICS AND CUMPUTER SYSTEMS naomba aziweke hapa kuna jambao nalifuatilia juu ya huy...
Picha gazeti la Mwananchi leo na hata taarifa nyingi ndani ya JF na kwingineko zinaonesha Muhimbili sasa wanamtibu Ulimboka tu. Machine inayosaidia kuangalia kila kitu kuhusu afya ya binadamu...
Waziri wa sera uratibu na bunge Wiliam Lukuvi amesema serikali imetumia Tsh 27.5 bilioni ktk sherehe za uhuru wa Tanzania kwa kutimiza miaka 50!. Lukuvi amesema hayo wakati akichangia bajeti ya...
Najaribu kufikiri kama kikwete angeichukua hii nchi mwaka 95...akiwa kijana zaid,yafuatayo nafikiri yangekuwa yametimia:
1.nchi ingekuwa imeshaisha namaaniisha tanganyika ingeshapotea kwenye uso...
WAKATI Serikali IKIJIGAMBA kwa kukusanya takriban Sh. trilioni 8 kutoka vyanzo vya ndani vya mapato katika miezi 12 kuanzia wiki ijayo, uchambuzi wa misamaha ya kodi nchini unaonyesha kuwa...
Serikali yasitisha kutoa tamko juu ya madaktari leo
Waziri Mkuu Mizengo Pinda Waziri Mkuu Mizengo Pinda ametangaza kusitisha Serikali kutoa tamko lake kuhusu mgomo wa madaktari, ambao...
Mwaka 2005 Jakaya Kikwete alijibu mara mbili kwa waandishi wa habari sehemu mbili tofauti, katika nyakati tofauti, kuwa sifikirii kushindwa. Majibu hayo aliyatoa baada ya kuulizwa swali kwamba...
Kama walivyofanya na Arab SPRING sasa wanataka kutuletea African SUMMER. Sasa inavyoonekana Tanzania is not immune from this nonsense. Hakuna anayekataa mabadiliko lakini haya mambo ya kuchochea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.