Kuna nini kinaendelea kati ya mbunge wa Namanyere ( Mh. Kessy ) na Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda

M-pesa

JF-Expert Member
Sep 4, 2011
602
151
Nimeshangazwa na style ya uulizaji wa maswali wa huyu mbunge wa Namanyere Mh. Kessy kwenda kwa waziri mkuu kuhusiana na suala la maji. Na vile vile nimeshangazwa na response ya waziri mkuu, amemjibu kwa ustahimilivu fulani huku akionesha dhahiri kukerwa na swali la huyu mbunge. Nijuavyo mimi hawa wabunge ni majirani kabisa waliotoka mkoa mmoja wa Rukwa kabla haujagawanywa, nilitegemea wawe wanaushirikiano na maelewano mazuri. Lakini Naona ni kinyume kabisa. Nini kinaendelea? kuna bifu la chinichini nini?
 
Back
Top Bottom