There's a day comes "watajuta"! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

There's a day comes "watajuta"!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Unkolonized, Jun 29, 2012.

 1. Unkolonized

  Unkolonized Member

  #1
  Jun 29, 2012
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 50
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kiukweli kuna kila dalili kuwa huu utawala hautamaliza muda wake na wananchi kuchukua nchi yao! Fikria mimi mkulima wa pamba nimesota na pamba yangu for so long leo hii naambiwa kilo ya pamba itauzwa kwa tshs 500 tu, hivi kweli tutafika.

  Nntakachofanya ni kuita wana habari na kudemo kwa kuichoma pamba yangu coz huu ni upuuzi na kilimo kwanza chao huku matrekta yakiozea pale Dodoma yapo yard utafikiri ndo yako bandarini!

  Mtumeeeee tunusuru waja wako!
   
 2. y

  yaya JF-Expert Member

  #2
  Jun 29, 2012
  Joined: Jun 29, 2011
  Messages: 694
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Pole sana mkuu. Lakini ndiyo hali halisi, utafanyaje sasa. Nakushauri usiichome pamba yako uliyoitolea jasho na pesa.
  Pia kichwa cha habari kama unataka kisomeke na kieleweke kwa kiingereza uandike "THERE COMES A DAY" Watajuta. Ni ushauri tu mkuu. Nadhani English Learner atakusaidia zaidi.
   
 3. Unkolonized

  Unkolonized Member

  #3
  Jun 29, 2012
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 50
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asante mkuu si unajua tena shule za kata na walimu wa voda fasta ndo maana!
   
Loading...