Kwa mara nyingine tena TBC haijarusha taarifa ya kusafirishwa Dr. Ulimboka, wana harakati waliyozungumza juu ya tukio lile. Ningependa pia kujua mchango wowote uliotolewa na serikali katika...
LNaNashawishika kuona nchi yetu inabadilika kwenye mindset za wananchi. Tuanze nchi mpya kabisa kuanzia jina, mpaka, Wimbo wa taifa, na katiba. Tumekuwa wanafiki toka tulivyoungana na Zanzibar...
Toka tuanze na operation kadhaa nchini, nimekuwa muumini wa ukombozi kupitia gwanda, lakini sasa sitaki kulisikia tena! Baada ya kuingia ndani kabisa ubaguzi nilioukuta huko, sitaki kusikia tena...
Wakati Nduli Amini anavamia nchi yetu mwaka 1978, Mwalimu nyerere aliweza kuwamobilize watanzania pamoja na majeshi yetu yakaingia vitani na kuweza kumuondoa Amini katika ardhi yetu.
Nimekuwa...
Kuna chuki imepandikizwa dhidi ya serikali yetu; chuki ambayo inawafanya watu wawe na hamu ya kuona serikali iliyoko madarrakani inaangushwa au kuanguka (collapse). Chuki hii inawafanya baadhi ya...
Jana, (ingawa sikusikia jibu lote) kipande kidogo nilichokisikia kinanifanya ni sadiki kuwa Mheshimiwa Waziri Mkuu Mizengo Kayanza Pita Pinda alipokuwa akijibu hoja za bajeti jana jioni kaonesha...
Nimekuwa nikifuatilia bajeti ya serikali yangu kwa zaidi ya miaka 15 sasa, na kwa muda wote huo sijawahi kusikia bajeti ya Tanzania isiyo na pesa za misaada na mikopo kutoka kwa wahisani...
Askari polisi wa kikosi cha kutuliza ghasia maarufu FFU, wakidhibiti eneo la Tegeta jijini Dar es Salaam leo baada ya wananchi wenye hasira kurushia mawe masafara wa Rais Kikwete. PICHA;ROMI...
Katika kutafutatafuta channel ya kuangalia, wakati nikimsubiri President kuhutubia taifa kama walivotangaza ITV na amabayo sijajua kama kaingia mitini au vipi, nimefungua channel ya ATN, nikamwona...
Wakuu, hivi leo JK ana mpango wa kuhutubia Taifa kama ilivyokuwa kawaida kila mwisho wa Mwezi? Natamani sana kusikia kauli yake kuhusu hali halisi ya nchi kwa sasa kwani nimesoma hapa kwamba...
Waziri wamambo ya ndani anatakiwa kuwajibika kama mawaziri wengine waliwajibishwa kwa udhaifu katika wizara zao.
Hii wizara ya mambo ya ndani imeonyesha udhaifu katika ulinzi wa raia na kupelekea...
Tumeshuhudia hivi vitu na sisi ndo tunaumia,, tunaandika maneno ya hasira humu bila kuchukua hatua! Wataalam walitakiwa waendelee na kazi zao lakini sio wenyewe ndo wadai vifaa,dawa,posho na...
Tanzania|Saturday,June 30th 2012
The Belgian investor who was last week accused of spying, tax evasion, smuggling and being an illegal immigrant by Wawi legislator Hamad Rashid Mohamed, has...
Nikiwa naangalia kipindi cha uchumi kupitia ITV kuna kauli ilitolewa na CEO wa Foundation of civil Society kiukweli ilinifurahisha aliposema uchumi unapokuwa kama nchi hakuna utawala bora maana...
Mkutano wa ccm unaohutubiwa na Martine Shigela unafanyika hapa Mtwara katika viwanja vya Majengo Lindi Mgahawa.
Ni aibu kwa kweli maana ukiacha akina mama makada wachache waliohudhuria wengi...
Katika historia ya dunia ya leo siku zote watawala au vyama vinavyokaa madarakani muda mrefu viongozi wake hugeuka watawala na kuwa kama wanyama.Watu wanapodai haki zao huwaona kama waasi ndani ya...
Na wewe ulipwe kila unalostahili kwa kutoa uhai wa wagonjwa wa Tanzania walio wengi na kuwakosesha haki yao ya msingi ya kuishi na kuendelea kuteseka vitandani wasijue wapi pa kutibiwa. Kama...
Spika Makinda aache mara moja kulaghai Bunge na Watz kwa ujumla -- kwani wengi tuna uelewa wa mambo kuliko yeye -- hata hizi Kanuni za Bunge anazodai anazisimamia pia tunazifahamu. Anavungavunga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.