Pinda akataa gari la kifahari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pinda akataa gari la kifahari

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by nyaupusi, Jun 19, 2012.

 1. n

  nyaupusi Member

  #1
  Jun 19, 2012
  Joined: Jun 16, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bibi Lisu akichangia bajeti leo ameeleza kuwa Pinda alikataa gari la kifahari. Mimi sikulijua hili. Hongera mheshimiwa japo unapigwa vita vikali sana.
   
 2. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #2
  Jun 19, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Duh! sanaa hizi!?
   
 3. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #3
  Jun 19, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,806
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  ushamba tu lol,mie ningekuwa yeye ningejiachiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiia vizuri na mchuma huo....:wink2::pray:
   
 4. n

  nyaupusi Member

  #4
  Jun 19, 2012
  Joined: Jun 16, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sanaa zipi? mmeshatumwa. nilijua tu!
   
 5. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #5
  Jun 19, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  MWEnzetu unaishi nchi gani? Pinda hata kama angekuwa na dhamira hiyo akigombezwa na JK aka DHAIFU basi anaacha mara moja.
   
 6. m

  mzeelapa JF-Expert Member

  #6
  Jun 19, 2012
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 1,034
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Waswahili wana msemo "we ukizira sie twala" hilo gari kwa sasa liko wapi? Kama lilishaingizwa nchini, kuna kigogo atakuwa analitumia kiulainiiiiiii...
   
 7. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #7
  Jun 19, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  Mbona alinipita pale ubungo akiwa ndani ya gari la kifahali na msululu mlefu?. Mia
   
 8. GP

  GP JF-Expert Member

  #8
  Jun 19, 2012
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 2,073
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  mi nataka kujua hilo gari alilokataa kulichukua ni aina gani na kwa sasa anatumia aina gani?.
  hili swala ni sanaa tupu, mkuu wa wilaya mwenyewe anatumia VX V8 au GX V8
   
 9. Arvin sloane

  Arvin sloane JF-Expert Member

  #9
  Jun 19, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 963
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Gari aina gani?
   
 10. n

  nyaupusi Member

  #10
  Jun 19, 2012
  Joined: Jun 16, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kuna mdau hapa anasema ni kweli alikataa na gari lenyewe ni v8 na hawajui liko wapi. kwasasa naamini hio kauli ya bibi Lisu
   
 11. T

  TUMY JF-Expert Member

  #11
  Jun 19, 2012
  Joined: Apr 22, 2009
  Messages: 706
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  it makes no difference
   
 12. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #12
  Jun 19, 2012
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  watoto wa pinda wanasoma savana ile shule shinyanga...i heard ada mil 10 na zaidi per term......
   
 13. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #13
  Jun 19, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,700
  Likes Received: 12,750
  Trophy Points: 280
  Mzee wa meeeeeeeeeeeeee anakataa gari anachukua mbuzi wawanchi kwa lazima.
   
 14. B

  Bob G JF Bronze Member

  #14
  Jun 19, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 2,354
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Yeye akikataa na wengine wakiendelea kutumia na kununua mengine hapo kunanini tena! nae Mh. pinda ni Dhaifu mno
   
 15. Nzowa Godat

  Nzowa Godat JF-Expert Member

  #15
  Jun 19, 2012
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 2,630
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Fisadi by nature!!
   
 16. n

  nyaupusi Member

  #16
  Jun 19, 2012
  Joined: Jun 16, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu hizo kauli zako ziangalie vizuri kusema kiongozi kama huyu ni dhaifu kwenye mada ya gari mimi binafsi siafiki kwasababu naona unataka kututoa nje ya mada. Pinda alitueleza wakati anahutubia mkutano huku kwetu kwamba mtoto wake anasoma arusha tena shule isio ya gharama kama hio unayoizungumzia wewe. sasa wewe mbona unazusha kusema wanasoma Savana sijui?? usiharibu hii mada kwa kuleta majungu ndugu, tumechoshwa na majungu, changia hoja za ukweli hapa.
   
 17. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #17
  Jun 19, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,838
  Trophy Points: 280
  huyu pianda si ndio nasikia anapokeaga vijizawadi vya mbuzi akienda ziarani mikoani???
  ana ubavu wa kuacha gari wakati vimbuzi vya elfu ishirini anabeba??? CHEZEA SIASA YA CHAMA CHA MWENYEKITI WEWE
   
 18. Kidotulotokordwak

  Kidotulotokordwak JF-Expert Member

  #18
  Jun 19, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 286
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pinda unajifunza kupinda kama kamanda zitto kukataa posho,umechelewa babangu,yesu
   
 19. Pinokyo Jujuman

  Pinokyo Jujuman JF-Expert Member

  #19
  Jun 19, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 553
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwani ni Kiongozi gani ushawahi msikia amekataa Zawadi apewapo na wananchi?
   
 20. Pinokyo Jujuman

  Pinokyo Jujuman JF-Expert Member

  #20
  Jun 19, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 553
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi gari la kifahari ni gari la aina gani?.
   
Loading...