Sipo tayari kutibiwa na daktari wa kigeni,liwalo na liwe! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sipo tayari kutibiwa na daktari wa kigeni,liwalo na liwe!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Marire, Jun 30, 2012.

 1. Marire

  Marire JF-Expert Member

  #1
  Jun 30, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 11,420
  Likes Received: 260
  Trophy Points: 180
  Wakuu kwa kweli sipo tayari kutibiwa na daktari wa nje kwani nchi yangu TZ haipo vitani,huo ndio msimamo wangu liwalo na liwe!
   
 2. sajosojo

  sajosojo JF-Expert Member

  #2
  Jun 30, 2012
  Joined: Apr 14, 2010
  Messages: 817
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 60
  Teh teh nakuunga mkono asilimia mia. kwanza tutashindwa kuelewana nao lugha
   
 3. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #3
  Jun 30, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 730
  Trophy Points: 280
  Hujaumwa wewe!
   
 4. m

  mambomengi JF-Expert Member

  #4
  Jun 30, 2012
  Joined: May 16, 2009
  Messages: 829
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Serikali irudishe huduma mbadala aka kikombe cha babu
   
 5. Aleyn

  Aleyn JF-Expert Member

  #5
  Jun 30, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 10,228
  Likes Received: 13,680
  Trophy Points: 280
  Usisehe hivyo ndugu yangu.
   
 6. Marire

  Marire JF-Expert Member

  #6
  Jun 30, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 11,420
  Likes Received: 260
  Trophy Points: 180
  liwalo na liwe ntakunywa kikombe
   
 7. Mnyampaa

  Mnyampaa JF-Expert Member

  #7
  Jun 30, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 245
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wewe si unatibiwa nje ya nchi. Wacha sisi tutibiwe. Hata hivyo haijaanza leo wapo wa kichina, korea, uholanzi, wajerumani, wajapani n.k hata kabla ya mgomo
   
 8. w

  wimbi la mbele JF-Expert Member

  #8
  Jun 30, 2012
  Joined: Jan 4, 2011
  Messages: 647
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  waganga wa kienyeji wapi

  una wasi wasi gani?
   
 9. bishoke

  bishoke JF-Expert Member

  #9
  Jun 30, 2012
  Joined: Jan 12, 2010
  Messages: 276
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwenye afya hamuhitaji tabibu asilani. Kuwa na afya au la ni mapenzi yake mola!
   
 10. webondo

  webondo JF-Expert Member

  #10
  Jun 30, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 1,724
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 160
  Mida hii KIKOMBE cha babu kingefaa sana.
   
 11. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #11
  Jun 30, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,838
  Trophy Points: 280
  naunga hoja mkono na miguu yangu yote mitatu... bora babu arudi na kikombe chake tuu......
   
 12. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #12
  Jun 30, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Mbona kuna matangazo kibao mitaani dr manyaunyau,dr mti mkavu,dr maji marefu,nk si wawachukue hao hasa wa kutoka tanga bagamoyo na sumbawanga
   
 13. chitalula

  chitalula JF-Expert Member

  #13
  Jun 30, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,307
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  liwalo na liwe ntaendelea kutumia dawa za mitishamba
   
 14. c

  chuwaalbert JF-Expert Member

  #14
  Jun 30, 2012
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 3,054
  Likes Received: 1,440
  Trophy Points: 280
  Kwani ALISHAONDOKA? AMEACHA KAZI yake ile ama ni waandishi wetu wa habari hawaimuliki tena ile story?
   
 15. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #15
  Jun 30, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  hana wateja kama awali. si habari tena!
   
 16. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #16
  Jun 30, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,838
  Trophy Points: 280
  nasikia SIRI-KALI ilimpiga BAN na inamsaka dead or alive
   
 17. MKWECHE

  MKWECHE JF-Expert Member

  #17
  Jun 30, 2012
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 299
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Inaonekana Akili yako haijakomaa!Ninyi Ndio mnauwanga makono wagomaji na Kuwaacha wananchi wanateseka!
  mie mwaka wa saba nafanya kazi hospitali na jua kila Chungu na Tamu la Hospitali!
  Ila kugoma kutibu wagojwa ni LAANA SIO BURE!
   
 18. c

  chuwaalbert JF-Expert Member

  #18
  Jun 30, 2012
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 3,054
  Likes Received: 1,440
  Trophy Points: 280
  Lakini story hiyo ilikuzwa na kushabikiwa na waandishi wenyewe kitu kilichowafanya wagonjwa wengi wamiminike Samunge. Sasa hawaiadniki tena, wagonjwa wanapungua. Mzunguko usioisha!
   
 19. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #19
  Jun 30, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 443
  Trophy Points: 180
  sipo tayari kuchomwa sindano za kupunguza nguvu za kiume na mzungu.

  Halafu huyu Mzee Liwali na Liwe anategemewa kuwalipa bei gani hao Noah?
   
 20. F

  Fursa Pesa JF-Expert Member

  #20
  Jun 30, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 2,321
  Likes Received: 787
  Trophy Points: 280
  Tiba haina mipaka.
   
Loading...