Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

hellow JF MEMBERS,critical thinkers for the sake of our equality,thinking for feuture generation
0 Reactions
0 Replies
723 Views
hizo fedha wanazotaka kuajiri madaktari kutoka nje ya nchi kama economist na risk taker kwa nini wasiwalipe madaktari wa ndani hizo fedha, kwa sababu zifuatazo watakuja kutoka watakakotoka...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naona serikali ndio chanzo cha yote yanayoendelea hapa bongo,kama wangeboresha huduma za afya hakuna daktari ambaye angegoma na kusababisha wagonjwa kufa.kwa hiyo mm naona muuaji ni serikali na si...
0 Reactions
0 Replies
718 Views
Leo spika Makinda aliwapatia wabunge wa upinzani nafasi ya kuomba miongozo, halafu akaikataa miongozo yote, then akasema nimewapa nafasi hawa wenzetu waongee, ili kuuonyesha umma kuwa wao ndio...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Kumbe lile dili la dola milioni 300 lilichongwa na Rostam ambaye alisha waweka sawa watu wa MAGAZETI, TREASURY, TPA MANAGEMENT, KAMATI YA BUNGE, BODI YA TPA na wengineo kazi ya USD 300 MILLION...
1 Reactions
23 Replies
5K Views
Dear all, Thank you very much for your candid support in this. I would like to bring to your attention that we had a meeting this afternoon between myself and a team of specialist to discuss...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Kwanza heshima kwenu madaktari wote na pole kwa majukumu yenu ya kudai haki zenu.Najua hamko vizùri kisaikolojia kútokana na kamanda wenu kùharibiwa maisha yake na watu wadharimû wasiolitakia mema...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
MSAFARA wa Rais Jakaya Kikwete uliokuwa ukielekea Bagamoyo jana ulilazimika kusimama kwa muda baada ya kuzuka kwa vurugu kubwa za kurushiwa mawe katika eneo la Namanga Tegeta Manispaa ya Kinondoni...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Saluti kwa wana jf wote. Wakuu ni siku nyingi sijamsikia mpambanaji EL, nini kimemkumba? Huyu bwana pamoja na makashfa yaliompata hadi kujiuzulu, alikuwa bora kuliko Pinda. Nina kila sababu ya...
0 Reactions
0 Replies
736 Views
Katika nchi yeyote duniani serikali ndiyo yenye jukumu la kuweka mazingira mazuri katika hospitali za umma na kuhakikisha kuwamadaktari na wafanyakazi wa afya wanafanya kazi yao ya kutibu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Katika tafakari yangu nimegundua kuwa Kikwete yeye si dhaifu ispokuwa sisi watanzania ndo tunapaswa kjilaumu kwa udhaifu na unafiki wetu Nasema hivi kwa maana hii; awamu ya kwanza ya uongozi wake...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
KWAMBA wazamiaji 45 kutoka Ethiopia wamekufa na wengine 72 wako mahututi kutokana na kukosa hewa wakiwa katika lori mkoani Dodoma ni habari ambazo bila shaka zimewasikitisha wananchi wengi. Maiti...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Polisi mmoja wa kikosi cha FFU ameuliwa wakati wengine kadhaa wamejeruhiwa vibaya leo na raia wenye hasira maeneo ya Tegeta Namanga. Pamoja na skari, kuna raia wawili pila waliouliwa na askari hao...
6 Reactions
95 Replies
8K Views
Mwezi mmoja tu hivi baada tu ya kuingia madarakani, mapema 2006, kulitokea mauaji ya wafanyabiashara wa madini wa Mahenge uliofanywa na polisi ambao walidai ni majambazi. Baada ya kusikiliza kilio...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Nimechukizwa sana na kauli ya Naibu Waziri wa TAMISEMI anayeshughulikia Elimu Kassim Majaliwa. Majaliwa, kiongozi wa zamani wa CWT amesema kuna kikundi kinaeneza propaganda za kuhamasisha Walimu...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
:israel: "Ninawashukuru madaktari wote nchi nzima, wauguzi na wafanyakazi wa sekta ya afya kwa ujumla wao kwa kusitisha huduma baada ya kupigwa mwenzetu. Tunaomba mshikamano huu uendelee," alisema...
5 Reactions
26 Replies
3K Views
Bf kat ya magharib na iran kuhusu mpango wake wa nyuklia ipo waz paka iran kufikia hatua ya kuchoma bendera ya uingereza pamoja na kufukuza mabaloz wa uingereza,URUSI pekee ndiyo mtetez wa nch za...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jana Naibu Waziri wa Elimu Kassim Majaliwa katika kujibu HOJA iliyoulizwa na JENISTA MHAGAMA aliyetaka kujua ni ni hatua gani SERIKALI inachukua ili kuepusha MGOMO wa WALIMU ambao kwa sasa...
1 Reactions
2 Replies
801 Views
Wanajamvi: Nimekuwa kwa muda mrefu nafuatilia sasaka hili la Dr Ulimboka na kuundwa kwa Tume ya polisi kulichunguza. Wengi wanaona tume hii haitafanya haki kwani polisi, au vyombo vingine vya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Tuna watu,viongozi na wengineo,wengi sana tunaowachukia. Wanatuibia,wanatudhulumu,wanatufunga,wanatuonea,wanatunyanyasa,wanatupiga,wanatuua na wanatudharau. Tunawajua kwa sura na majina...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom