Hotuba za Rais kwa Taifa kila mwisho wa mwezi!

kindafu

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
1,346
1,676
Wakuu, hivi leo JK ana mpango wa kuhutubia Taifa kama ilivyokuwa kawaida kila mwisho wa Mwezi? Natamani sana kusikia kauli yake kuhusu hali halisi ya nchi kwa sasa kwani nimesoma hapa kwamba alishafanya kikao na Baraza la Mawaziri na kisha kukutana na Baraza la Usalama wa Taifa!
 
Hivi tukiekewa sanction tutaathirika???maana hapa tulipo ni kama tumewekewa sanction,,,,,,
inaeleweka america si rafiki mzuri yaan hili hawalijui wao??????
 
Jamani wana Jf kama kichwa cha habari kinavyojieleza jioni ya leo 30/06 kama kawaida yake rais atahutubia taifa.!!?
Tutegemee nini toka kwake, juu ya matatizo haya:-
1. Mgomo wa madaktari
2. Kupanda kwa gharama ya maisha.
3. Hali ya demokrasia nchini
4. Sensa ya watu na makazi 5. Usalama wa raia na mali zao.
6. Katiba mpya ya Tanzania. 7. Etc,etc,etc...!!?
Tukae chonjo kumsikia..!!
 
Mkuu Zomba hili limeingiaje tena hapa? Au hayo ndo maudhui ya hotuba ya JK ya leo?

Ukiona mtu yupo na raha nyingi kwa kitu cha kipumbavu basi ujue akili yake ipo kwenye magoti, kichwani **** tendons sio brain.
 
Mambo mengine ni sensitive na hayahitaji rais asubiri mwisho wa mwezi kuyasemea!
Kwa rais makini,angekuwa amesha semea mgomo wa madaktari,kuteswa kwa dr ulimboka na mambo mengine yanayo gusa maisha ya watanzania moja kwa moja!
Kukaa kimya ni kuthibitisha hoja kuwa yeye ni Dhaifu!!
 
Back
Top Bottom