Migomo inayoendelea inasababishwa na sisi wananchi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Migomo inayoendelea inasababishwa na sisi wananchi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by lijumbete, Jun 30, 2012.

 1. l

  lijumbete Member

  #1
  Jun 30, 2012
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 52
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  Tumeshuhudia hivi vitu na sisi ndo tunaumia,, tunaandika maneno ya hasira humu bila kuchukua hatua! Wataalam walitakiwa waendelee na kazi zao lakini sio wenyewe ndo wadai vifaa,dawa,posho na mishahara, mazingira ya kazi kuboreshwa ile hali sisi wananchi wa kawaida ndio tuna wajibu wa kuiwajibisha serikali. Ujue nini mimi naamini sasa neno la mnyika tuitwe watanzania wote. Tumeshindwa kuchukua hatua na tumekuwa watu wa kujaza post za kutoa pole na kutukanaa bila kuonesha way forward kwenye matatizo! Ili page isiwe kijiwe tuanzishe utaratibu tatizo likitokea we focus kwenye wayforward sio kuelezea tukio tenaa kama kuna watu wamezaliwa leo na wameanza kutumia mitandao. Hali ya hospitali zetu sio nzuriii especially MNH tunafanyaje, ulimboka kapigwa nusu kufa tunafanyaje, mgomo umetokea tunatoa solutions na sio kuanza ku narrate story.....
   
 2. Borat69

  Borat69 JF-Expert Member

  #2
  Jun 30, 2012
  Joined: Jun 17, 2012
  Messages: 2,536
  Likes Received: 1,220
  Trophy Points: 280
  Mkuu Hii Dozi nimeikubali. Binafsi nakupa Likes 20.
   
 3. Kikarara78

  Kikarara78 JF-Expert Member

  #3
  Jun 30, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 1,164
  Likes Received: 514
  Trophy Points: 280
  Lijumbete na Wana JF,
  Nakuunga Mkono na mikono kwa 110%.
  Tanzania itajengwa na Watanzania aka Wananchi wa Tanzania.
  Wananchi ndio wenye Nchi, Wananchi ndio wenye mamlaka ya kuchagua Kiongozi au Viongozi wanaowapenda au kuwachagua.
  My Take: Tusitegemeee Miujiza kuwa siku moja Tanzania itakuja kujengwa na Wageni, Wahisani, Watu kutoka nje ya Tanzania. Mungu Ibariki Tanzania, Mungu Ibariki Watanzania.
  Nawakilisha.

   
 4. Mupirocin

  Mupirocin JF-Expert Member

  #4
  Jun 30, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,596
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Well said naunga hoja mkono kwa 200% sio kama wale magamba ila kwa mchango mzuri
   
 5. Christine1

  Christine1 JF-Expert Member

  #5
  Jun 30, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 12,278
  Likes Received: 1,206
  Trophy Points: 280
  ....mmhh,hili nalo neno!ss tunaanzia wapi?ndo suala
   
 6. c

  cannulla Member

  #6
  Jun 30, 2012
  Joined: Apr 14, 2012
  Messages: 56
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 15
  gud idea mkuu mi nakuunga mkono,,,,tuanze na ww nn wayfoward???
   
 7. CHEMPO

  CHEMPO JF-Expert Member

  #7
  Jun 30, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 369
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Uko sahihi maneno matupu hayatatusaidia chochote,serekali ya ccm imelala na kwa sasa inakoroma..inabidi iamshwe kwa fimbo na si kwa maneno
   
 8. F

  Fursa Pesa JF-Expert Member

  #8
  Jun 30, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 2,324
  Likes Received: 790
  Trophy Points: 280
  Tatizo tunaingiza siasa kwenye masuala ya muhimu,katika hili tukiingiza u-ccm,u-cdm n.k kamwe ufumbuzi sifuri.cha msingi tuache wataalam wenyewe watatue suala hili kwa wenzao ambao sio wataalamu.Sisi pia tunao wajibu kutoa michango yetu
  kwa kuangaria pande zote kwa maana ya serikali,madaktari,wananchi na wadau mbalix2 .Na ifike mahala tujiulize maswali kadhaa
  mfano:
  1. AFYA YAKO/YANGU/YETU NI JUKUMU LA NANI?
  2. IPO HAJA YA KUIPATA BURE AU KUCHANGIA?
  3. NIICHANGIE KWENYE HSPT/ZAHANATI YA NANI?
  4. KWA NINI BURE AU NIICHANGIE?
  5. VIFAA VINATUMIKA KWELI KWENYE HIZO HSPT ZA SERIKARI AU?
  6. INAKUWAJE HAVITUMIKI?
  7. HIVI KUNA MFUKO WOWOTE AU ASASI ZA KIJAMII,MASHIRIKA NA WATU BINAFSI KUJITOLEA KUSAIDIA HILI?
  8. HIVI MWAJILI MKUU (SERIKALI) AMEWEKA KITU CHA KUDHIBITI MUDA WA KAZI AU KUNA UTARATIBU GANI MAHSUSI WA KUPIMA KIPIMO CHA KAZI?
   
Loading...