Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hivi serikali yetu sikivu inataka sisi wananhi tufanye ili kujilinda kutekwa iwe na Polisi wa ukweli au waungo? tukitaka kushikwa na Polisi tugome au tu resist arrest? au tupigane maana imekuwa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ili kusikiliza bonyeza hapa: http://tunein.com/tuner/?StationId=158711& Redio ikifunguka usiache ku LIKE na kutuma maoni yako kwa info@arushamambo.com Source: TBC
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Eti habari ndio hiyo!
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Walimu wote nchi nzima tupo tayari na sisi kugoma kama ma daktari.Viongozi simama imara,ikiwezekana hata wawaue kama ilivtokea kwa Ulimboka.Tunasubiri tamko na melekezo yenu.
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Kwa wale wenye kutarajia kuwa mawaziri basi jiandae kuwa mwepesi wa kutoa jibu hili jambo lolote ambalo huna majibu nalo: {...."Jambo hili tumelisikia, linatugusa, tunalitafakari, tutapatia...
3 Reactions
47 Replies
4K Views
Tatizo ni urais wapo watu wabinafsi ambao wanasumbuliwa na makovu ya uchaguzi ambao hawatak kukubali hali,.kama kweli tuna mapenzi mema na nchi hii 2shirikiane kuleta maendeleo na sio manunguniko...
2 Reactions
39 Replies
3K Views
Mch Christopher Mtikila anakutana na WAANDISHI wa HAbari asubuhi hii saa 4 na Nusu pale Travertine Hotel Magomeni KUTOA msimamo wa DP JUU ya unyama aliofanyiwa Kamanda Dr S ULIMBOKA. ATATOA...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Ili kuondoa unafiki,sintofahamu na manungu'niko juu ya utatuzi wa mgomo wa madaktari ambao umedumu kwa nusu mwaka sasa ningeshauri wananchi ambao ndio waathirika wakuu wa mgomo wapewe fursa ya...
0 Reactions
0 Replies
960 Views
Je Kama kweli Serikali imedhamilia kuleta madaktari wa kigeni kuchukua nafasi ya hawa waliogoma kutokana na mazingira magumu ikiwemo maslai duni na kutokuwepo kwa vifaa mbalimbali hosp. Je kama...
0 Reactions
3 Replies
978 Views
Hivi profession ya nape ni nini?!Ningependa hili swali alijibu alafu twende tukajadili ya gemedari ULIMBOKA.huyu jamaa anapata wapi kuhoji taaluma ya udaktari wakati hajui watu walisotea vipi hiyn...
0 Reactions
117 Replies
10K Views
Sisi watanzania tumefanywa kama hatuna uelewa lakini kuna baadhi ya watu ambao hawana uchungu wa nchi hii hususa yule mbunge wa nzega aliyesimama bungeni na kusema MTU YOYOTE MWENYE UCHUNGU NA...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Je Kama kweli Serikali imedhamilia kuleta madaktari wa kigeni kuchukua nafasi ya hawa waliogoma kutokana na mazingira magumu ikiwemo maslai duni na kutokuwepo kwa vifaa mbalimbali hosp. Je kama...
0 Reactions
0 Replies
960 Views
Kutokana na ukweli ya kwamba cloufs fm wamekuwa wanaendesha vipindi vyao vingi vinavyotokana na tukio la wakati huo (unplanned program) sitashangaa hata kidogo kesho wakaanza kubwabwa kuhusu...
0 Reactions
0 Replies
988 Views
Sijui nchi hii itakuwa vipi endapo mgomo wa madaktari utakutana na ule wa walimu unaotarajiwa kuanza tarehe 05 Julai! Ee Mungu turehemu Watanzania.
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Nikweli Dr Steven Ulimboka ameumizwa na kupewa machungu mkubwa sana hamba yo hayakustaili kwa mtu hasiyekuwa na hatia!!.......ila kama hili jambo lina mkono wa vyombo vya dola sinabudi kusema...
1 Reactions
22 Replies
4K Views
Hivi whats the point ya kuwa na wizara ya afya? Hivi kweli tumekuwa so useless mpaka hakuna anayewajibika? Hivi mtu kama huyu anaweza kusema kuwa HE IS PROUD TO BE TANZANIAN? MICHUZI: mkaazi...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Kati ya wilaya tano za mkoa wa mara,yaani Musoma mjini,Musoma vijijini,Serengeti,Bunda,Tarime na jimbo la Kibala,ni katika wilaya ya serengeti ndo mheshimiwa dhaifu aliongoza kwa kura nyingi,tena...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Kama ma daktari waliopo hawakubaliani na terms za serikali hapajaharibika neno. Nashauri wajiuzulu na serikali iajiri madaktari wapya ambao wako tayari kuendelea na kazi. Haiwezekani taifa la...
5 Reactions
76 Replies
7K Views
The cat-and-mouse game involving the medical professionals and the government has been making headlines for all the wrong reasons as the country continues to witness one of the most health...
0 Reactions
1 Replies
862 Views
Wabunge wa chadema, hiki ndicho kipindi cha kususia bunge, madaktari wapo kwenye mgomo, ndg zetu wanaendelea kufa. kwa kukosa matibabu Spika hataki mjadala wa madaktari ujadiliwe...., na kwa...
0 Reactions
1 Replies
705 Views
Back
Top Bottom