Joto la Gwanda kero, NIMEAMUA KUVAA UZALENDO

Kageuka

JF-Expert Member
Jun 22, 2012
241
59
Toka tuanze na operation kadhaa nchini, nimekuwa muumini wa ukombozi kupitia gwanda, lakini sasa sitaki kulisikia tena! Baada ya kuingia ndani kabisa ubaguzi nilioukuta huko, sitaki kusikia tena, nikagundua kuwa kumbe swala si gwanda swala hapa ni Uzalendo. nimeamua kuvua gwanda na kuvaa UZALENDO.
 
Kwa maana hiyo hapo ulipo uko uchi!! Maana hauna gamba wala gwanda umebaki saburi nje nje kudadeki??
 
Join Date : 22nd June 2012
Posts : 3
Rep Power : 0
Likes Received0
Likes Given0

[h=2] hongera ila sisi bado tunaendelea na harakati za ukombozi hadi kieleweke [/h]unavyo viaangalia wewe havina tija kwa Mtanzania wa sasa maana ulipenda madaraka ukakosa na hapa una unarudi magambabi ili upewe cheo kama njia ya kukulinda usitoke tena Maana hii ni technique ambayo wengi wanaitumia mfano
  • Wassira
  • Hiza
  • Nape
  • etc

Toka tuanze na operation kadhaa nchini, nimekuwa muumini wa ukombozi kupitia gwanda, lakini sasa sitaki kulisikia tena! Baada ya kuingia ndani kabisa ubaguzi nilioukuta huko, sitaki kusikia tena, nikagundua kuwa kumbe swala si gwanda swala hapa ni Uzalendo. nimeamua kuvua gwanda na kuvaa UZALENDO.

vaa Bendera shingoni kama mwigulu kuonesha unafiki.
 
wewe lazima utatetea, si ndio nyie mnao bagua wengine.
hatuna haja ya kubagua mtu kwa sababu zozote zile kwa wakati huu si vema kuangalia dini, ukanda au kabila la mtu cha msingi tupate uhuru toka mikononi mwa mafisadi unao wapenda
 
Toka tuanze na operation kadhaa nchini, nimekuwa muumini wa ukombozi kupitia gwanda, lakini sasa sitaki kulisikia tena! Baada ya kuingia ndani kabisa ubaguzi nilioukuta huko, sitaki kusikia tena, nikagundua kuwa kumbe swala si gwanda swala hapa ni Uzalendo. nimeamua kuvua gwanda na kuvaa UZALENDO.
muache kutudanganya uzaendo gani mlio nao hadi muuvae mtaupata wapi, kwa gharama ipi ?? sema tu navaa ufisadi maana hii ndiyo itikadi ya chama lenu
 
Ww uanaonekana hujui maana ya uzalendo eehee? Uzalendo unapatikana JKT na siyo kujishoneshea magwanda na kuanza kutoa porojo zako.

1. Kunywa maji ya bendera ya tanzania (inachemshwa then unapewa maji yake.
2.Unakwenda kuchukua msosi kwa kujipanga kwenye foleni (huku ukisota na makalio
3.Hamna ubishani, sharti kutiii na kufuata amri inavyotolewa

HIZO NI MOJA WAPO YA HATUA ZA KUPITIA UWE MZALENDO (BAADHI TU HIZI, UKITAKA NITAFUTE KWA MDA WAKO

ASANTE
 
Back
Top Bottom