TBC1 na habari ya kusafirishwa kwa Dr. Ulimboka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TBC1 na habari ya kusafirishwa kwa Dr. Ulimboka

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by K.Msese, Jun 30, 2012.

 1. K

  K.Msese JF-Expert Member

  #1
  Jun 30, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 1,470
  Likes Received: 271
  Trophy Points: 180
  Kwa mara nyingine tena TBC haijarusha taarifa ya kusafirishwa Dr. Ulimboka, wana harakati waliyozungumza juu ya tukio lile. Ningependa pia kujua mchango wowote uliotolewa na serikali katika kufanikisha safari ya matibabu ya Dr. Uli....! Kama hakuna jitihada yeyote, ni kwanini? Kama hakuna jitihada, je inataka kutuaminisha kuwa Ulimboka amechukuliwa kama adui?

  Kibanga Msese
   
 2. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #2
  Jun 30, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Comrade achana na TBC isha oza hiyo hakuna jipya pale.........wanalojitahidi wao ni kuonesha bunge tu
   
 3. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #3
  Jun 30, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  wanaogopa vivuli vyao!
   
 4. Al Zagawi

  Al Zagawi JF-Expert Member

  #4
  Jun 30, 2012
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 1,718
  Likes Received: 242
  Trophy Points: 160
  wakati ITV wanaanza na hiyo habari, immediately nli-tune TBC, huko nikakutana na stori ya mashehe kuwalaumu madaktari kwa kugoma....

  katika sakata hili ile dhana ya kuwa TBC ni propaganda machine ya CCM/Serikali inapata nguvu na kwa kweli inatuuma kutoa kodi zetu kuendesha chombo kisicho na faida kwetu

  ....aaaaaaaaaarrrrrrrrgggggggggggghhhhhhhhh
   
 5. CHEMPO

  CHEMPO JF-Expert Member

  #5
  Jun 30, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 369
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Tbc ilaaniwe na ife,,,,,,,
   
 6. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #6
  Jun 30, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  umeona eeeeeee hawa jamaa sijui ni kwanini wanajiita TBC Na kwa nini wasijiite CCMBC
   
 7. chitalula

  chitalula JF-Expert Member

  #7
  Jun 30, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,307
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  imenishangaza zaidi iliporusha habari za wazee wakiislamu na wanazuoni wao kuwataka madaktari warejee kazini
  siungi mkono mgomo wa madaktari kama ilivyokuwa kuwa siungi mkono wanaotaka madaktari kumaliza mgomo na kurudi kazini. Kuna watu ama kwa makusudi au kwa uoga wanaacha kuiambia ukweli serikali na kuilazimisha imalize mgomo wa madaktari haraka
   
 8. angedizzle

  angedizzle JF-Expert Member

  #8
  Jun 30, 2012
  Joined: Aug 8, 2011
  Messages: 560
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 80
  subirini "Mwananchi TV " mpate raha mpaka kumoyo.....

  sent from my I pad
  Near Magogoni
   
 9. F

  FJM JF-Expert Member

  #9
  Jun 30, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Wabunge wote wanaoamini uwazi, usawa, na haki kwa kila mtanzania kupata habari muhimu basi napendekeza wasiunge mkono bajeti ya Wizara ya Habari, Michezo na Utamaduni hadi pale serikali inatoa kauli ya kuridhisha kuhusu mwendeno wa TBC.

  Wananchi wanayo haki ya kujua nini kinaendelea kuhusu mgomo wa madaktari. Hicho anachosema Spika kwamba kuna kesi mahakami ni kisingizio, maana unaweza kuongelea mgomo bila ya kuguza shauru lililoko mbele ya mahakama.

  Serikali iko nyuma mno, na TBC inazidi kuanika u-zilipendwa wa serikali. Sioni sababu ya kodi yangu kutumika huku sipati habari za muhimu.
   
 10. c

  chuwaalbert JF-Expert Member

  #10
  Jun 30, 2012
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 3,062
  Likes Received: 1,444
  Trophy Points: 280
  Na kile wanachoonesha nasi kuona, Wabunge WANAKANUSHA eti wamenukuliwa vibaya!
   
 11. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #11
  Jun 30, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Lingekuwa kama siba wa Kanumba wangetoa rambirambi kama 10ml.
   
 12. Mupirocin

  Mupirocin JF-Expert Member

  #12
  Jun 30, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,596
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Achana nao kwanza coverage yao haipo nchi nzima, wazembe tu wajinga wakubwa
   
 13. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #13
  Jun 30, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  baraza la habari lina kazi gani?
   
 14. Mandingo

  Mandingo JF-Expert Member

  #14
  Jun 30, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 3,380
  Likes Received: 317
  Trophy Points: 180
  Ile slogan yao ya ukweli na uhakika naomba ibadilike iwe
  UWONGO WA UHAKIKA!
   
 15. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #15
  Jun 30, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,707
  Trophy Points: 280
  Nilishaanza media boycott kwa TBCCM tangu mwaka juzi walipomtimua Tido kwa hila!!!!
   
 16. m

  massai JF-Expert Member

  #16
  Jun 30, 2012
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Wakati tbc inaanzishwa nakumbuka tajiri REGINALD MENGI aliwaambia ni ngumu tbcccm kuenda sambamba kiushindani na station za binafsi.sasa ukweli umedhihirika,choka mbaya wao ni propaganda za uongo ndio wanazozipenda.wanajificha kwenye kivuli chao
   
 17. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #17
  Jun 30, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,785
  Likes Received: 2,395
  Trophy Points: 280
  TIDO MHANDO njoo na mwananchi TV utupe habari za ukweli na uhakika.eti kufa kwa ccm kumesababishwa na TIDO
   
 18. URASSA THE DON

  URASSA THE DON Member

  #18
  Jun 30, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 70
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  ndivyo ilivyo serikali aijatoa mchango
   
 19. Mamzalendo

  Mamzalendo JF-Expert Member

  #19
  Jun 30, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,664
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  yaani tbc ni janga la taifa na aibu isiyo kifani, kwanza habari zao zimekaa kipumbavu na kivivu hivi kweli siku nzima ndio vitu mnakaa kutuandalia watanzania shame on all the workers of tbc, lazy creatures learn from other tv stations and other countries, stupid.
   
 20. Codon

  Codon JF-Expert Member

  #20
  Jun 30, 2012
  Joined: Dec 16, 2011
  Messages: 629
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Namimi nimeshangaa mno!Propaganda nikitu hatari mno hasa zakupindisha uhalisia!
   
Loading...