Mkutano wa CCM mtwara wadoda | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkutano wa CCM mtwara wadoda

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mzito Kabwela, Jun 30, 2012.

 1. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #1
  Jun 30, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,523
  Likes Received: 1,703
  Trophy Points: 280
  Mkutano wa ccm unaohutubiwa na Martine Shigela unafanyika hapa Mtwara katika viwanja vya Majengo Lindi Mgahawa.
  Ni aibu kwa kweli maana ukiacha akina mama makada wachache waliohudhuria wengi waliobakia ni watoto wadogo na msafara wa kuelekea viwanjani uliishia kuzomewa na kuonyeshewa alama ya vidole viwili

  Yupo Tambwe hiza na wengine siwajui nitaeleza kadiri nitakavyokuwa nna update
  Updates.
  Hizza anatambulishwa anasalimia sasa.
  Anasema na yeye chinga mama yake ni mwenyeji wa masasi

  Mwenyekiti wa mkoa Alhaji anasema tusitumie muda wetu kutukanana.tufanye kazi, matusi yanatuchelewesha
  Anawaita wapinzani wabishani.
  Anasema Chadema wamekuja kutukana, eti walikataza raia wasile ming'oko wakati hicho ni chakula cha asili.
  Anasema chadema wanasema mtwara ni masikini wakati wao wenyewe wameomba michango kwa masikini hao hao
   
 2. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #2
  Jun 30, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,202
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Labda wawakamate hao wananchi waliogoma kuja kwenye mkutano wa watoe kucha na meno Kama Walivyofanya kwa Dr ulimboka
   
 3. Emma.

  Emma. JF-Expert Member

  #3
  Jun 30, 2012
  Joined: Jun 25, 2012
  Messages: 19,923
  Likes Received: 3,003
  Trophy Points: 280
  Wamekosa magari ya kukodisha kuwapeleka wajumbe wao?
   
 4. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #4
  Jun 30, 2012
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Hivi CCM bado ipo? Au kilichobakia ni ubabe-ubabe tu?
   
 5. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #5
  Jun 30, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,523
  Likes Received: 1,703
  Trophy Points: 280
  Mwenyekiti wa mkoa anasema tusiwapende chadema tutakuwa kama somalia
   
 6. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #6
  Jun 30, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,523
  Likes Received: 1,703
  Trophy Points: 280
  Anapanda Hizza na kuna mwanachama wa tlp isa kuliohi anarudisha kadi anahamia gambani nsambiwa aligombea udiwani akakosa
   
 7. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #7
  Jun 30, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,523
  Likes Received: 1,703
  Trophy Points: 280
  Anaita wanachama wa cdm kurudsha kadi hakuna aliyetokea. Tambwe anaanza kumwaga sera
   
 8. paty

  paty JF-Expert Member

  #8
  Jun 30, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 1,259
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  hawajapika wali ??? maana ndo swaga za sisiemu
   
 9. Marire

  Marire JF-Expert Member

  #9
  Jun 30, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 11,418
  Likes Received: 261
  Trophy Points: 180
  huku kanda ya ziwa kinaitwa chama cha mabwepande.
   
 10. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #10
  Jun 30, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,523
  Likes Received: 1,703
  Trophy Points: 280
  Tambwe anasema kitengo cha propaganda ambacho yeye slikuwa katibu wake kilifutwa sababu wapinzani walikuwa wanakitafsiri vibaya. Anasema amepandishwa cheo sasa hivi ni msaidizi wa katibu mkuu wa ccm

  Anasema kwa yeye kuwa katibu mwenezi ws cuf alikuwa anatenda dhambi sana
   
 11. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #11
  Jun 30, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  hahaa CCM bana...
   
 12. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #12
  Jun 30, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,523
  Likes Received: 1,703
  Trophy Points: 280
  Tambwe anasema hiyo serikali itakayoundwa na chadema ni serikali ya kishetani
   
 13. Kiganyi

  Kiganyi JF-Expert Member

  #13
  Jun 30, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 1,244
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
 14. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #14
  Jun 30, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,523
  Likes Received: 1,703
  Trophy Points: 280
  Tambwe anamnanga lipumba kuwa ni kiongozi wa chama cha msituni
   
 15. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #15
  Jun 30, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,523
  Likes Received: 1,703
  Trophy Points: 280
 16. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #16
  Jun 30, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,644
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  tupia na picha
   
 17. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #17
  Jun 30, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,523
  Likes Received: 1,703
  Trophy Points: 280
  Ccm ndo imeanzisha vyuo vyote
  Ccm ndo iliyosomesha marubani
  Nchi zote zilizochagua upinzani sasa hivi ziko hoi
  Malawi, kenya, zambia zote zote ziko hoi kwa sababu ya kuchagua upinzani
   
 18. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #18
  Jun 30, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,748
  Likes Received: 12,842
  Trophy Points: 280
  Picha please! Nape yupo?
   
 19. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #19
  Jun 30, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,523
  Likes Received: 1,703
  Trophy Points: 280
  Tuliza munkari
  Hizza anasema hata ikitokea mtu akikosa choo watasingizia ccm
   
 20. S

  SubiriJibu JF-Expert Member

  #20
  Jun 30, 2012
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 1,131
  Likes Received: 779
  Trophy Points: 280
  Kumbe ameshakata tamaa anajua kuwa CHADEMA lazima iunde serikali. Tumefika pazuri.
   
Loading...