Spika Makinda atuambie suala la kupigwa Dr Ulimboka liko katika mahakama ipi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Spika Makinda atuambie suala la kupigwa Dr Ulimboka liko katika mahakama ipi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Zak Malang, Jun 30, 2012.

 1. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #1
  Jun 30, 2012
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Spika Makinda aache mara moja kulaghai Bunge na Watz kwa ujumla -- kwani wengi tuna uelewa wa mambo kuliko yeye -- hata hizi Kanuni za Bunge anazodai anazisimamia pia tunazifahamu. Anavungavunga tu katika kutoa tafsiri.

  Naomba kumuuliza Spika Makinda hivi: Atueleze bila ya kumung'unya maneno lini suala la kupigwa kwa Dr Ulimboka lilifikishwa mahakamani?

  Kinachofahamika ni kwamba kesi iliyo mahakamani ni ombi la Mwanasheria Mkuu wa serikali dhidi ya Chama cha Madaktari (MAT) kutaka mgomo wa madaktari utangazwe kuwa batili -- ombi ambalo Mahakama ilikubalia mara moja.

  sasa Spika Makinda anapowakatalia Wabunge kuzungumzia suala la kupigwa Dr Ulimboka kwa kusema liko mahakamani -- atuambie ni mahakama ipi, na ni kesi namba ngapi. Labda wengi hatujui.

  Mimi naona Spika huyu ni janga la kitaifa -- naona anachangia kwa kasi kulitumbukiza taifa katika farakano.
   
 2. Msolopagazi

  Msolopagazi JF-Expert Member

  #2
  Jun 30, 2012
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 659
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45

  Huyu mama ni kilaza mno kazi ni kulinda magamba menziye
   
 3. K

  Kassim Awadh JF-Expert Member

  #3
  Jun 30, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 887
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Tatizo hatumii utashi wake,,kazi yake kubwa ni kuwaridhisha waliomweka pale kwa kigezo cha uanamke
   
 4. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #4
  Jun 30, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  mkuu,
  unaimanisha Gamba?
   
 5. E

  Elizabeth Dominic Platinum Member

  #5
  Jun 30, 2012
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 4,547
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Hujaona Pinda jana jioni alivyommwagia sifa kuwa anamtia moyo na akimuangalia sura yake tu anafarijika
   
 6. j

  jigoku JF-Expert Member

  #6
  Jun 30, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,347
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Kiukweli napendekeza wabunge wote kutoka vyama vya upinzani hata kususia bunge,maana sioni mantiki,na wala sioni maana yoyote,kwani pale jambo kubwa kwa maslahi ya watanzania linapopingwa kwa sababu linaweza kuiabisha serikali kwa kutolishughulikia mapema kwangu ni tatizo kubwa.na haya yote yanasababishwa na huyu bibi Kiroboto,ni kabishi haka ka-spika,ni kanafiki ile mbaya,halafu kana-pritend kujua sana kanuni,na wakati mwingine kanagoma tu makusudi bila kuwa na hoja,na haiwezekani spika wa wabunge wote unakuwa na upendeleo wa wazi,na mwisho anaongoza kwa personal interest,mfano kitendo cha kusema mimi sipendi miongozo,pale alipoombwa mwongozo na Mh Mnyika ni kitendo kilichoniuma sana,natamani atokee mbunge akatie mangumi haka kaspika
   
 7. s

  swrc JF-Expert Member

  #7
  Jun 30, 2012
  Joined: Jun 17, 2012
  Messages: 442
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mafisadi, magamba, majambazi, madhaifu....
   
 8. D

  Determine JF-Expert Member

  #8
  Jun 30, 2012
  Joined: Apr 27, 2012
  Messages: 257
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Ana vaginal candidiasis,nahisi muda mwingi hayuko comfortable ktk kiti
   
 9. Mo-TOWN

  Mo-TOWN JF-Expert Member

  #9
  Jun 30, 2012
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,628
  Likes Received: 139
  Trophy Points: 160
  Ilifanywa mizengwe ili Sita, mtu ambaye alikuwa anajua nini maana kuwa spika atoke...siku zote vyeo vya kupewa ni shida sana cost zake ndizo hizi sasa Bunge linaendeshwa kwa intuition...
   
 10. denoo49

  denoo49 JF-Expert Member

  #10
  Jun 30, 2012
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 5,658
  Likes Received: 5,249
  Trophy Points: 280
  Nawalaumu na wabunge waliomo bungeni, kutokuomba muongozo kuhusu kauli yake.
   
 11. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #11
  Jun 30, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,314
  Likes Received: 5,606
  Trophy Points: 280
  Moyoni mwake atakuwa anajisikia vibaya sana na aibu maana anawatumikia waliomuweka bila kuwa na uwezo!dhamira haitamuacha kamwe!!!
   
 12. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #12
  Jun 30, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Huyo mama sijui kwanini wabunge wanamchekea ni miongoni mwa watanzania watetea maovu .....kamwe tusimchekee
   
 13. denoo49

  denoo49 JF-Expert Member

  #13
  Jun 30, 2012
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 5,658
  Likes Received: 5,249
  Trophy Points: 280
  mishipa ya aibu ilishamkatika kitambo sana. Sasa hv amebakiza "mental disorder"
   
 14. Codon

  Codon JF-Expert Member

  #14
  Jun 30, 2012
  Joined: Dec 16, 2011
  Messages: 629
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Wewe!wewe!Ban hiyo unaibip!Msalimie Unigold ee!
   
 15. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #15
  Jun 30, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Kisha kula mkong'oto si aende mahakamani akashtaki. Saa hizi anajuwa machungu yanayowakuta maelfu ya wagonjwa wetu.
   
 16. Codon

  Codon JF-Expert Member

  #16
  Jun 30, 2012
  Joined: Dec 16, 2011
  Messages: 629
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Alafu akistaafu viongozi wajao eti wabunge wanaenda kuchukua ushauri kwake!
   
 17. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #17
  Jun 30, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,108
  Likes Received: 6,584
  Trophy Points: 280
  Kama siyo wapinzani nisingeangalia bunge asilani.
   
 18. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #18
  Jun 30, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,798
  Likes Received: 36,830
  Trophy Points: 280
  Mr. Layman kwa iyo mahakamani ndo mlalamikaji hupeleka mashtaka ya jinai??
  Duh, hii mpya.


  Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
   
 19. Mbutunanga

  Mbutunanga Senior Member

  #19
  Jun 30, 2012
  Joined: Feb 15, 2011
  Messages: 183
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35

  Kwani kwa kumpiga hao maelfu wanapata huduma? He is a hero na he was able to cheat even death, nahisi yamewashuka! Chezea Mungu weye!
   
 20. Mbutunanga

  Mbutunanga Senior Member

  #20
  Jun 30, 2012
  Joined: Feb 15, 2011
  Messages: 183
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hivi hamna kifungu chochote cha katiba cha kumuondoa huyu mama pale, anatia aibu mbaya! Yaani siku ukimuona tu jua kuna jambo limepangwa.
   
Loading...