Mahakama ya Kadhi "Ruksa" - Pinda

Status
Not open for further replies.

zomba

JF-Expert Member
Nov 27, 2007
17,240
3,910
Jana, (ingawa sikusikia jibu lote) kipande kidogo nilichokisikia kinanifanya ni sadiki kuwa Mheshimiwa Waziri Mkuu Mizengo Kayanza Pita Pinda alipokuwa akijibu hoja za bajeti jana jioni kaonesha kuridhia kwa Serikali kuanzishwa tena kwa Mahakama ya Kadhi baada ya kufungiwa kwa muda mrefu na aliyekuwa Rais wa kwanza wa Tanganyika (na baadae Tanzania) Julius Kambarage Nyerere.

Tunawapongeza Watanzania wote kwenye haya maamuzi mazuri yaliyofanywa na Serikali ya Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete. Kuwarudishia Waislaam Kadhi na mahakama ya Kadhi ni katika kuwapa uhuru wao wa kuabudu uliodhulumiwa na utawala wa awamu ya kwanza.

Tunatumai mchakato wa kuzirudisha mahakama za kazi utakuwa wa kasi zaidi.

Hongera Waislaam, Hongera Kikwete, Hongera Pinda, Hongera Watanzania.
 
Hivi unawapongeza uliowapongeza kwa faida zipi kuwa na mahakama ya kadhi? What benefit interms of economy, social, political etc will you gain by having kadhi courts re-established. Usiwa na jaziba we nijibu ni faida zipi utazipata? Labda na mimi naweza kubadili dini nizifukuzie hizo faida!!
 
Mahakama ya kadhi mlisharuhusiwa kuanzisha siku nyingi tu, ni uzembe wenu na kutegemea muanzishiwe kwa gharama za walipa kodi wote wa tz ndiyo ulichelewesha uanzishaji huo. Kwa hiyo iwapo sasa mmeafiki kuanzisha kwa gharama zenu hakuna anayewazuia au atakayewazuia hata kidogo.
 
Mara nyingi serikali imewaambia kama mnataka mahakama ya Kadhi anzisheni anytime, lakini serikali haitahusika, sasa kwa nini mnang'ang'ania kuihusisha serikali?..the government has nothing to do with mahakama ya Kadhi na JK aliwaambia hili.
 
Jana, (ingawa sikusikia jibu lote) kipande kidogo nilichokisikia kinanifanya ni sadiki kuwa Mheshimiwa Waziri Mkuu Mizengo Kayanza Pita Pinda alipokuwa akijibu hoja za bajeti jana jioni kaonesha kuridhia kwa Serikali kuanzishwa tena kwa Mahakama ya Kadhi baada ya kufungiwa kwa muda mrefu na aliyekuwa Rais wa kwanza wa Tanganyika (na baadae Tanzania) Julius Kambarage Nyerere.

Tunawapongeza Watanzania wote kwenye haya maamuzi mazuri yaliyofanywa na Serikali ya Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete. Kuwarudishia Waislaam Kadhi na mahakama ya Kadhi ni katika kuwapa uhuru wao wa kuabudu uliodhulumiwa na utawala wa awamu ya kwanza.

Tunatumai mchakato wa kuzirudisha mahakama za kazi utakuwa wa kasi zaidi.

Hongera Waislaam, Hongera Kikwete, Hongera Pinda, Hongera Watanzania.
Mbona mlishaambiwa siku nyingi au mnasubiri mjengewe na serikali?
 
Na itambulike kuwa serikali haitashiriki katika gharama za uundwaji wala uendeshaji shughuli za mahamaka ya kadhi - serikali.
 
Mtaendesha kwa kodi zenu wenyewe!!. mnapenda vitu vya bure bure tu!.
 
Na itambulike kuwa serikali haitashiriki katika gharama za uundwaji wala uendeshaji shughuli za mahamaka ya kadhi - serikali.

Magdalena, hawa watu wa ajabu, hivi watapata faida gani kwa kuwa na hizo mahakama. I am trying to imagine having a catholic court, of what benefit will it be to me as a catholic anyway!!! Labda sina ufahamu wa hizo mahakama za kadhi with regard to faida zake. naomba kueleweshwa!
 
kwa gharama ya waislamu?
Yeah!
Lakini wakati wa kusaini MOU ambayo ni kwa "faida ya Watanzania wote" waislamu hawakuwa na mwakilishi! kitu gani kilichopo katika mkataba hatujui......tunachoambiwa ni kwa faida ya wote!
"hongera" Wakristo, hongera Kanisa!
Sr Magdalena said:
Mlipa kodi mkubwa Tanzania ni TBL hawa jamaa wanafanya kila liwezekanalo fedha hii ya TBL iende ikaendeshe mahakama ya Kadhi,.
Msidanganyane! mlipo kodi mkubwa ni Waislamu kutokana na wingi wao (wekeni kipengele cha dini kwenye sensa) na ufanyabiashara.
 
Vatican wamekwisha kataa, hawataki mahakama ya kadhi, na ninawahakikishieni, hakuna mahakama ya kadhi kuuundwa na mkono wa serikali ndani!!

Ndoto zenu za alinacha zinawasumbua, serikali ilikwisha sema kama mnaitaka undeni tu...
 
Mlipa kodi mkubwa Tanzania ni TBL hawa jamaa wanafanya kila liwezekanalo fedha hii ya TBL iende ikaendeshe mahakama ya Kadhi,.
Msidanganyane! mlipa kodi mkubwa wa nchi hii ni Waislamu kutokana na idadi ya uwingi wao (wekeni kipengele cha dini kwenye sensa) na ufanyabiashara.
 
Chekeleeni tu mna hela za kuendesha? Mmeshindwa kujenga miskiti ya kutosha mnalilia mahakama ya kadhi pesa zenyewe za kuunga unga si bora mngewekeza kwenye mashule ya kiislam na zahanati.
 
Magdalena, hawa watu wa ajabu, hivi watapata faida gani kwa kuwa na hizo mahakama. I am trying to imagine having a catholic court, of what benefit will it be to me as a catholic anyway!!! Labda sina ufahamu wa hizo mahakama za kadhi with regard to faida zake. naomba kueleweshwa!

Ni vitu vya ajabu sana, badala ya kufikilia kujenga shule na mahospitali watu wanafikilia kujenga mahakama ya Kadhi ambayo kimsingi haina maana yoyote.

Na serikali imewaambia mahakama ya Kadhi itashughulika na vitu vifuatavyo:-
1. Mirathi
2. Ndoa
3. Migogoro ya kifamilia

Sasa haya mambo ma sheikh na ma imamu wanaweza kuyamaliza bila hata ya mahakama.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom