Watanzania tutakuwa omba omba hadi lini?

Bwemero L

Member
Feb 5, 2012
45
7
Nimekuwa nikifuatilia bajeti ya serikali yangu kwa zaidi ya miaka 15 sasa, na kwa muda wote huo sijawahi kusikia bajeti ya Tanzania isiyo na pesa za misaada na mikopo kutoka kwa wahisani. Nawauliza wana JF (Great thinkers)
1. Inamaana bila misaada Tanzania haiwezi kuwepo?
2. Watanzania zaidi ya mil 40, hatuna hata mtu mmoja anayeweza kutupa mawazo ya namna tunavyoweza kuachana na hii aibu ya kuomba kila mwaka.
Siku wahisani wakisema hawatukopi tena, tutaishije?
 
6007213209_ce8b3f202a_z.jpg
 
Back
Top Bottom