Katiba mpya na taifa jipya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Katiba mpya na taifa jipya

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by kalcha, Jul 1, 2012.

 1. k

  kalcha Member

  #1
  Jul 1, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 79
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 13
  LNaNashawishika kuona nchi yetu inabadilika kwenye mindset za wananchi. Tuanze nchi mpya kabisa kuanzia jina, mpaka, Wimbo wa taifa, na katiba. Tumekuwa wanafiki toka tulivyoungana na Zanzibar, muungano wa kinafiki umepelekea utendaji wakinafiki uliosababisha ulafi,ufisadi na ubinafsi. Haya yanatufanya tusijali maslahi ya jamii na kutuondelea uadilifuu.Katiba, ianzena jina la nchi, tukivunja muungano, of course jina na mpaka vitabadilika, tubadili utambulisho wa bendera, n.k.ila kilamile mtu aelewe kwa nini tunabadili nchi, tule viapo vipya, tusameheane makosa, tuanze upya mikataba, mikopo, mipango ya kutekelezeka na utoaji adhabu kali kwa yeyote atakayekutwa na makota ya ubadhilifu na uzembe! Natamani kuona nchi mpya, akili mpya na mipango mpya
   
Loading...