Watawala wanaokaa madarakani muda mrefu hujigeuza miungu watu na kuwa kama wanyama | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watawala wanaokaa madarakani muda mrefu hujigeuza miungu watu na kuwa kama wanyama

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Salary Slip, Jun 30, 2012.

 1. S

  Salary Slip JF-Expert Member

  #1
  Jun 30, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 25,021
  Likes Received: 37,755
  Trophy Points: 280
  Katika historia ya dunia ya leo siku zote watawala au vyama vinavyokaa madarakani muda mrefu viongozi wake hugeuka watawala na kuwa kama wanyama.Watu wanapodai haki zao huwaona kama waasi ndani ya nchi yao.

  Inasikitisha na inaumiza sana kuona jinsi binadamu anavyoweza kutendewa unyama huu.

  Tendeni wema na mungu atawalipa.

  Hapa duniani tunapita tu.

  Kila kitu kina mwanzo na mwisho.
   
Loading...