KATIKA mgogoro unaoendelea hivi sasa kati ya Serikali na madaktari, yapo mambo matano ambayo sisi hatutaki kuyaamini. Kwanza, hatutaki kuamini kwamba unyama aliofanyiwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya...
Naomba upitishe mchango wawazi kwa wabunge wote waliotayari na walioguswa na kuokoa uhai wa mpendwa wetu, ndugu yetu,mtaalam wetu Dr Ulimboka iliaweze kwenda kupata matibabu! NIOMBI.
Baada ya kushuhudia migomo ya madaktari kwa awamu mbili na baadaye kufuatiwa na majadiliano yalioyoisha hivi karibuni sasa kuna kila dalili ya kutokea kwa mgomo mwingine mara itakapofika tarehe 23...
Mdaktari wanahitaji Mshahara wa Milioni 3.5, Katika nchi Maskini ni Vigumu kulipwa mshahara huu, Nadhani wafanye Analysis kama inawezekana kwani kwa sasa anayetoka Chuoni analipwa Kuanzia Laki...
Wakuu tutafute namna ya kuwadhibiti viongozi hawa pindi inapothibitika walikanusha kuwepo kwa taarifa au tukio la ukweli. Jambo hili tutafute namna ya kuliweka vizuri na kwa uwazi.
Serikali yetu ingekuwa na vifaa vya kutosha Dr.Ulimboka angetibiwa muhimbili wataalamu wapo tatizo vifaa hamna kuna haja gani kuwa madaktari mabingwa wakati hakuna vipimo naombeni nisaidie wana jf...
Ukiachilia mbali coverage kubwa waliyo-enjoy CCM kwa kutumia Radio Tanzania, kisha TBC, hata lile jina WANAMTANDAO lililoibuka mwaka 2005 ni kutokana na lile kundi la CCM kuweza kutumia vizuri...
Jopo la Madaktari wanaomtibu Dr. Ulimboka katika Hospitali ya Rufaa ya Muhimbili wamesema zinahitajika shilingi Milioni Tisini (Tsh.90,000,000) kwa ajili ya kusaidia matibabu ya Dr. Ulimboka...
UKIIKOSA HII UTAJILAUMU MILELE.....
Siku ya jumapili tarehe 15.07.2012 kuanzia saa 6.00 mchana, maelfu ya wakazi wa DAR ES SALAAM watamwagika kwa wingi uwanja wa JANGWANI, uwanja wa nyumbani...
Ni juzi tu masoud kipanya alichora katuni ikionyesha wapiga kura wamepanga msururu mrefu sana kwenda kupiga kura, na katika meza ya kupigia kura kulikuwa na dhaifu against dikteta, katuni...
Iliwezekanaje kugundua mtego wa Al-shababy kutaka kuvuruga amani kwa mashambulizi kwenye maandamano ya vyama vya upinzani lakini ikashindwa kudhibiti utekaji nyara wa Dr. Ulimboka ,ambaye kama...
Hi wana JF wote
Leo tusemezane kuhusu hii tabia ya wanasiasa au viongozi wa serikali kupata kashfa za ngono imekuwa kama moja ya kuedit CV zao duniani swali wanapata wapi mda wa kukimbizana na...
Hatimaye bajeti na mazongezonge yake katika ofisi ya waziri mkuu yapita kwa lugha laini,tunachosubiri ni utekelezaji.Tumechoshwa na serikali ipo kwenye mchakato,tumejaribu kuliangalia kwa umakini...
habari wana jamii
naomba tujadili hili kwa pamoja maana sisi wengine tukisema sana tunaambiwa ni waropokaji
laini hawa wenzetu huwa na busara kabla ya kusema yess kweli kabisa kwakuwa wao ni...
Licha ya utawala wa Kizayuni wa Israel kuendeleza jinai zake dhidi ya Wapalestina ikiwa ni pamoja na kuendelea kuwapora ardhi zao na kujenga vitongoji vya walowezi wa Kizayuni pamoja na kuendelea...
With commodity demand soaring, the world's mining companies are increasingly turning to Africa to deliver resources to growing economies. Foreign investment on the continent has grown 87...
Watanzania wapenda haki ambayo ni rutubisho la amani - tupinge kwa nguvu zote ile tume ya akina Kova. Kwa kuwa kumeisha ingia doa la kwa polisi kushukiwa mkono wake, basi ni bora wajiondoe kupisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.