Hatimaye Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk Amani Abeid Karume leo amejitokeza hadharani na kuwataka wanaCCM kutobabika na watu wanaotoa maoni yao kuhusu muundo wa Muungano uliopo.
Dk Karume...
Bado mnataka kura 2015?
Kama wewe ni kingozi wa kweli wa nchi hii, mwenye mapenzi mema na taifa hili, waondoeni watoto wenu kwenye hayo mashule ya private ya ki-st... na muwarudishe kwenye...
Wana JF. Kumbe TZ tumelaaniwa kama wengine Afrika. Hii hali ya kumiliki nchi kifamilia ni mzigo wa rangi yetu?
Nilidhani ukishapewa Nobel Prize utailinda kwa akili yote mbele ya macho ya watu...
Wakati mzimu hatari wa mgongano wa ki- utu na maslahi kati ya serikali na madaktari ukiwa kwenye wakati wa joto kali ukifanyika kwenye shingo tepetevu ya raia asiye na hatia yoyote, mapambano...
Bali ni baba yangu.
Najua akina Nape, ritz, Zomba na the likes ambao wapambanaji mtanisaidia kuwataja, wamekimbilia post hii wakijua labda Dr. Slaa karudisha kadi na kujiunga na magamba.
Eee...
Baada ya kuahirisha hotuba yake na apparently kwenda Kigali kwenye sherehe yao ya miaka 50 ya uhuru (ilhali Kagame hakuja hapa, anyhow...), ningependa atueleze wananchi wake yafuatayo kwa kina ...
Tuka nipate taarifa kupitia vyombo vya habari kama ITV kuwa Rais atahutubia Taifa leo hadi muda huu yupo kimya na hakuna taarifa zozote. Je huu si ubabaishaji mwingine? kwa watanzania kudanganywa...
Napendekaza ianzishwe taasisi ijulikanayo kama Dr. Ulimboka foundation.
Kazi zake iwe ni kuchangisha fedha kutoka kwa wananchi ndani ya nchi na kwa wafadhili nje ya nchi kwaajili ya ununuzi wa...
Spika wa bunge Anne Makinda amelaani vyombo vya habari Tanzania kumkalia kooni kwamba amekuwa akipendelea wabunge wa CCM bungeni na kukandamiza wale wa CDM.
Makinda amesema kinachosumbua...
BABA wa Mwenyekiti wa Jumuiya
ya Madaktari, mzee Steven
Mwaitenda amejikuta akiangua
kilio kwa uchungu mbele ya
wanaharakati ambao
walimtembelea mwanae, Dk.
Steven Ulimboka kumpa pole...
nakumbuka kwa mbali sana, migomo ya wafanyakazi inafanana fanana kwa vipi? je madaktari wanatekeleza kilichonzishwa na walimu, TRL , wale vijana wa viwandani? au laa mgomo ile na uharibifu wa ludd...
SERIKALI imeamua kuagiza madaktari kutoka nchi za nje watakaochukua nafasi ya wale wa hapa nchini ambao wamegoma kuanzia mwishoni mwa wiki iliyopita.
Habari kutoka katika moja ya vyanzo vya...
Siasa inapochanganywa na utaalamu kwa manufaa ya utaalamu siasa huwa bora, ila siasa inapochanganywa na utaalamu kwa manufaa ya kisiasa siasa huwa safi. Bali siasa na utaalamu visipochanganywa...
Kwa kuwa serikali imeendelea na msimamo wake, na Mahakama imeshatoa tamko, na madakitari wameendelea na mgomo!!.
Na inaonekana hakuna suluhu, na watoto,mama wajawazito,wazee wasiojiweza na wengine...
NDUGU zangu,
Nimepitia nilichoandika Februari 4, 2012 juu ya mgogoro wa madaktari na Serikali nikaona ni vema niyarushe tena maandiko yangu yale kama yalivyokuwa, bila kuongeza au kupunguza...
KWA tabia yake na kwa mazoea tangu alipoingia madarakani mwaka 2005, Rais Jakaya Kikwete anapenda wagonjwa.
Kwa miaka takriban saba sasa, Watanzania wamemfahamu kama Rais aliye mwepesi wa...
Imekuwa kawaida katika misiba pale historia ya marehemu inaposomwa kuna kipengele ambacho ni cha kuwashukuru madaktari na wauguzi waliomtibu marehemu. Sasa swali; ikiwa mgonjwa amekufa kutokana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.