Ukiwatazama kwa umakini ni kama wanatafuna maji vile, ni kwamba yale maandamano ya Mwanza kulikua na Ngonjera, mashairi na maigizo. Kama ilivyo kawaida umati ulikua wa kuokoteza wakiwa takribani...
'mbunge na madiwani jimboni iramba magharibi wameshindwa kujadili mipango na mikakati mathubuti ya kulikwamua jimbo ketu katika tope la umaskini,wamekuwa madiwani posho na mbunge wa mipasho...
Tarehe 02 Julai nilikuwepo eneo la uwanja wa ndege kia nikiwa na shughuli zangu binafsi majira ya saa 1430. Ilitua ndege kubwa aina ya ya Airbus iliyovuta hisia za watu wengi sana wakiwemo...
Tupo ndani ya ukumbi wa Msekwa,tupo Mh.Msigwa mbunge wa Iringa mjini CDM,anazungumza mambo kadhaa lakini anaomba watu wawajibike kwa maisha yao,na wasitegemee ajira za serikali.
Kwenye Cv ya mwanasheria mkuu iliyopo kwenye kumbukumbu za bunge inaonyesha kwamba mwanasheria mkuu jaji Werema ni mwanachama wa chama cha mapinduzi(CCM) sasa sijajua hivi hii ni sahihi kwa...
Mkuu wa mkoa wa rukwa na mbunge wa viti maalumu Mh manyanya akiwa anachangia hoja bungeni alikituhumu chama cha CHADEMA kuwa kina husika na mgomo wa madaktari.
Hoja ambao iliungwa pia na mh...
Kanda ya ziwa tunahitaji kuongea na viongozi wa CDM, ngazi ya taifa ili kufahamu juu ya mambo mbalimbali yanayolikabiri taifa. Tunajua yapo mengi sana, tunataka tushiriki kupata mstakabari wa...
Msajili wa vyama vya siasa nchini ndugu John Tendwa amekisajili kwa muda Chama Cha Ukombozi wa Umma (CHAUMA) kikiwakilishwa na mwenyekiti wa muda ndugu WALESI MAYUNGA.
Siku za nyma nilisoma nyuzi humuhumu JF kuwa Mabere Marando ni mwana usalama wa taifa na alikuwa ni mmoja katika watesaji wa awamu ya kwanza, na alikuwa akiwatesa wafungwa wa kisiasa huko Mafia...
Uongozi mzima wa Bunge hauna maana;ni legelege na wa kipuuzi. Haiwezekani kanuni za Bunge zifuatwe tu wanapozungumza Wabunge wa CHADEMA.Mara ngapi Wabunge wa CCM na washirika wao wamewashutumu na...
Habari JF,
Majuzi kulitokea wizi mkubwa sana katika wizara hii, saa tisa usiku walikuja watu na gari wakaingia ndani na wakati nje kuna watu wa tanesco emergency, wezi wakabomoa milango...
HOTUBA YA MSEMAJI MKUU WA KAMBI YA UPINZANI BUNGENI NDUGU KABWE ZUBERI ZITTO (MB), WIZARA YA FEDHA NA UCHUMI, KUHUSU MAPENDEKEZO YA MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA SERIKALI KWA MWAKA WA...
wakuu nazitafuta clips motomoto yani current za bungeni, kwenye hizi kama siku tatu nne hivi zimepita, chama langu ambalo naamini ni chama letu limewashika wadhaifu vizuri kweli, sasa sijui...
Two subsidiaries debarred -- company agrees to pay $500,000 to the World Bank as part of settlementWASHINGTON, July 3, 2012The World Bank Group today announced the debarment of two wholly-owned...
Taarifa zisizo rasmi zimeeleza kuwa yule mtu aliyempigia simu dr. Ulimboka kuja wafanye mazungumzo, na hatimaye kutekwa ameokenana ubalozi wa Afrika kusini akiomba VISA ya kwenda Afrika kusini...
Ndugu zangu,
Tarehe kama ya leo miaka 20 iliyopita, yaani tarehe 2 Julai, 1992, Bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania lilipitisha sheria ya kuruhusu kuwepo kwa mfumo wa vyama vingi.
Miaka...
Member of Parliament CV
GENERAL
Salutation
Honourable
Member picture
First Name:
Stephen
Middle Name:
Hilary
Last Name:
Ngonyani
Member Type:
Constituency Member
Constituent...
MWENYEKITI wa Jumuiya ya Madaktari Tanzania Dk. Steven Ulimboka ameombewa ulinzi kwenye Shirika la Kimataifa la Kutetea Haki za Binadamu la Amnesty International.Vyanzo vya habari vya kuaminika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.