CCM waseme,CHADEMA wathibitishe... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM waseme,CHADEMA wathibitishe...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by VUTA-NKUVUTE, Jul 4, 2012.

 1. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #1
  Jul 4, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,870
  Likes Received: 6,610
  Trophy Points: 280
  Uongozi mzima wa Bunge hauna maana;ni legelege na wa kipuuzi. Haiwezekani kanuni za Bunge zifuatwe tu wanapozungumza Wabunge wa CHADEMA.Mara ngapi Wabunge wa CCM na washirika wao wamewashutumu na kuwatusi wa CHADEMA? Ni juzi tu Stella aliishutumu CHADEMA kuhusika na mgomo wa madaktari na kutekwa kwa Dr. ULIMBOKA. Akaachwa. Hakutakiwa kuthibitisha. Mnyika ni kinyume. Huu ni use...Tukichoka,hapatatosha...
   
 2. B

  Blessing JF-Expert Member

  #2
  Jul 4, 2012
  Joined: Apr 21, 2009
  Messages: 271
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  :spy: Unajua Jamaa zangu CCM ni watu dhaifu tuu awana jipya -- Huyo Stella Manyanya ni manyanya kweli kama jina lake HOPELESS - Sasa kuhusu MUGANO ukweli ni kwa hawa CCM MAFIA they will talk but wenyekufanya mauzi ni WANANCHI wenyewe na sio SERIKALI wala BUNGE. Unajua iliyotokea Kenya wakati wa Uchaguzi sio SIASA ila ni chuki na Udhaifu ya SERIKALI yao, SIASA Chafu na WIZI ya Maali ya Umma. We are not far from that and we will see the ALSHABAB hapa kwetu kwenye nyumba za hawa WABUNGE WACHAFU WIZI wa CCM walivyo iba pesa zetu za Uchungu na kuweka nje ya nchi ya kwa na mamali iliyokitiri. Kwa hivyo wawe tayari. Tutaanzia kwa watoto wao. SISI atutaki MUNGANO wasitupeleke peleke ni sisi wananchi ndio tunataka they should not detect to us. WE WILL SEE - SAUTI YA UMMA AU CCM NA SERIKALI YAKE. WAPOMBAVU WABUNGE WOTE WA CCM.
   
 3. m

  majebere JF-Expert Member

  #3
  Jul 4, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 4,522
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  Vp mbona wasiwasi umeanza?jama yako hana ushahidi nini? Wabunge wenu wakae wakijua kuwa wakati wa kuropoka bila kuwa na ushahidi umekwisha.siku zote mnasema wa ccm ni wa wasiwasi sasa tuone na hao wa kwenu wako vp.
   
 4. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #4
  Jul 4, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,870
  Likes Received: 6,610
  Trophy Points: 280
  Swali ni: kwanini mara zote wathibitishe Wabunge wa CHADEMA tu?
   
 5. JamboJema

  JamboJema JF-Expert Member

  #5
  Jul 4, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,148
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Vuta nkuvute jibu lipo wazi - inatafutwa angle ya kuwabana cdm. Mnyika akileta ushahidi mzito kamwe hutousikia bungeni!
   
 6. JamboJema

  JamboJema JF-Expert Member

  #6
  Jul 4, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,148
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Hivi ushahidi wa lema ulishasomwa?
   
 7. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #7
  Jul 4, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Mbona LUKUVi akiwepo hulia lia sana mwongozo lkn bi kidude humpa nafasi sana tuu, wakisema chadema basi upuuzi mxiiii. CCM nawataarifu kabsaaa ntatumia uwezo wangu wote 2015 mpaka muanguke, nna hasira na nyie tena sana tuu
   
 8. l

  laigwenan JF-Expert Member

  #8
  Jul 4, 2012
  Joined: Apr 13, 2012
  Messages: 323
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  ndugu yangu rudisha kumbukumbu nyuma bro.Godbless Lema alileta uthibitisho Bungeni lakini mpaka sasa kimya hata kwa Mnyika itakuwa hivyo.
  ì
   
 9. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #9
  Jul 4, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Nilijua tu lazima vilaza mjitokeze na ***** wenu!
   
 10. a

  andrews JF-Expert Member

  #10
  Jul 5, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 1,680
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  mnyika alitaka kuthibitisha rais ni dhaifu mkakataa mifano miwili tu kuonesha ni dhafu1.(wasichna wa shule wanapata mimba sababu ya kiherehere chao)2(sijui kwa nini tanzania ni dhaifu akijibu mkutanoni)la mwisho ameanguka anguka mara nyingi
   
 11. a

  andrews JF-Expert Member

  #11
  Jul 5, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 1,680
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
   
 12. m

  mahoza JF-Expert Member

  #12
  Jul 5, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 1,242
  Likes Received: 411
  Trophy Points: 180
  Hao maushahidi yamezidi sasa huko zinakowekwa. Tumechoka.
   
 13. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #13
  Jul 5, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,870
  Likes Received: 6,610
  Trophy Points: 280
  Hata sura zinaonesha kuchoka na kukata tamaa.Wapo wapo tu chamani...shiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiit!
   
Loading...