Bado sijapata jibu kuhusu tuhuma dhidi ya chadema. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bado sijapata jibu kuhusu tuhuma dhidi ya chadema.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Tukundane, Jul 5, 2012.

 1. Tukundane

  Tukundane JF-Expert Member

  #1
  Jul 5, 2012
  Joined: Apr 17, 2012
  Messages: 8,312
  Likes Received: 2,677
  Trophy Points: 280
  Mkuu wa mkoa wa rukwa na mbunge wa viti maalumu Mh manyanya akiwa anachangia hoja bungeni alikituhumu chama cha CHADEMA kuwa kina husika na mgomo wa madaktari.

  Hoja ambao iliungwa pia na mh nchemba kwa kusisitiza kuwa hawa CHADEMA wasikatae wanahusika na mgomo wa madaktari.mh manyanya alieleza pia kuwa dr ulimboka wakati anatekwa mmoja wa watekaji alivaa magwanda yanayo valiwa na wanacdm.hivyo walio husika na utekaji ni CHADEMA. Mimi nimeshindwa kuzielewa hizi tuhuma hizi kwa jambo moja ambalo Mh hakulitolea ufafanuzi.

  CHADEMA kama wanahusika na mgomo kwa nini sasa wageuke tena na kumteka dr ulimboka ambae walikuwa wanamchochea ili aendelee na mgomo? mi na dhani km cdm walikuwa nyuma ya mgomo wasinge mteka dr ulimboka bali wange mpongeza kwa kuifanya vizuri kazi walio mtuma. Hapa kuna kitu kinafichwa siyo bure.
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Jul 5, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Ccm wanasahau kuwa ukiwa mwongo lazima uwe na kumbukumbu nzuri.
  Muda si muda watabadili tena kauli na kusahau kuwa walisema tuhuma hiyo.
   
 3. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #3
  Jul 5, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Mpaka hivi sasa ni kwamba CCM wako bize wanafanya WINDOW SHOPPING kumpata yeyote atakayeweza kununua hii kesi ya aibu ya karne na kuanza nayo safari ndefu kwa niaba ya wahusika halisi wa tukio zima.

  Lengo ni kuja kuokoleana sura hapa ili mtu huyo akaichukue kama yake kwamba hasa ndiye mtekaji wa Dr Ulimboka kisha kuanza kuburuzwa mahakamani na kutiwa ndani geresha na mwisho wa siku anaibuka mitaani tena kama Zombe na mifuko iliotuna fedha za ujira huo.

  Amini usiamini kampuni kama hizi za kununua kesi za aibu zipo Dar kibao na kuna tetesi kinachogomba mpaka sasa ni dau la kumwagwa kwao ili wakajitwishe mzigo huo wa kudhalilisha na kuchukiza sana jamii yetu.
   
 4. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #4
  Jul 5, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Magamba ni sawa na AL QAEDA. 2015 tuyanyonge yote publically.
   
 5. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #5
  Jul 5, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  nakubaliana na wewe kabisa hapo juu, hii kesi kuna mtu wanamtafuta wa kumuuzia. kama wana ofa ya shs billion moja waseme kuna watu hata humu ndani wataichukua hiyo kesi:spy:
   
 6. KIJOME

  KIJOME JF-Expert Member

  #6
  Jul 5, 2012
  Joined: Jun 7, 2012
  Messages: 3,079
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Magamba bhana,shetan kawatosa na unyama wao sahivi wanaweweseka,na bado haki na ukweli vinakwenda kusimama.....
   
 7. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #7
  Jul 5, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,829
  Trophy Points: 280
  Mh manyanya bila shaka alikuwepo eneo latukio na anaweza akawa shahidi mzuri.
   
 8. Nyetk

  Nyetk JF-Expert Member

  #8
  Jul 5, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 1,624
  Likes Received: 819
  Trophy Points: 280
  Hata uamsho wanasema ni wakristo ndo wanaochoma makanisa yao. Nahisi mtunga majibu haya ni mmoja.
   
 9. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #9
  Jul 5, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,705
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  Wote mnohamini uongo wa yule mama wa magamba kuwa CDM wanahusika ktk utekwaji wa Dr. Basi mjue kuwa akili zenu ni sawa na uamsho.
   
 10. d

  dr lemba New Member

  #10
  Jul 5, 2012
  Joined: Jun 21, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ilipaswa manyanya athibitishe kauli hii, lakini kwa sababu spika/wenyeviti nao ni mrengo uleule hawajachukuliwa hatua yoyote!!!! ila wasisahau kwamba mwisho wa maambo yote u karibu!!!
   
 11. d

  dguyana JF-Expert Member

  #11
  Jul 5, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 426
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuzaliwa siku moja na kufa siku moja hivyo hata ukweli utakuwepo pale siku moja. Chadema wajikite kujiandaa kuongoza nchi sio kupangua hoja za kijinga kama hizi.
   
Loading...