Tuithamin na kuipa nafasi elimu yetu katika kuongoza nchi

Escobar

JF-Expert Member
Sep 16, 2011
574
440
[h=2]Member of Parliament CV[/h][h=2]
GENERAL
SalutationHonourableMember picture
1738.jpg
First Name: Stephen
Middle Name: Hilary
Last Name:Ngonyani
Member Type:Constituency Member
Constituent: Korogwe Vijijini
Political Party: CCM
Office Location: P.O. Box 60, Korogwe, Tanga
Office Phone: +255 784 459090/+255 712 006666
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail: sngonyani@parliament.go.tz
Member Status: Current Member
Date of Birth 25 May 1956
EDUCATION
School Name/Location Course/Degree/Award Start DateEnd DateLevel
Kwamndolwa Primary SchoolPrimary Education19701976PRIMARY

Member of Parliament CV

[/h]
GENERAL
SalutationHonourableMember picture
1736.jpg
First Name: Highness
Middle Name: Samson
Last Name:Kiwia
Member Type:Constituency Member
Constituent: Ilemela
Political Party: CHADEMA
Office Location: Box 1733, Mwanza
Office Phone: +255 754 977070
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail: hkiwia@parliament.go.tz
Member Status: Current Member
Date of Birth 8 October 1976
EDUCATION
School Name/Location Course/Degree/Award Start DateEnd DateLevel
Kijenge Primary SchoolPrimary Education19881991PRIMARY
Mbuyuni Primary SchoolPrimary Education19851988PRIMARY

Lake Secondary School
Secondary Education19921994SECONDARY
[h=2]Member of Parliament CV[/h]
GENERAL
SalutationHonourableMember picture
1694.jpg
First Name: Livingstone
Middle Name: Joseph
Last Name:Lusinde
Member Type:Constituency Member
Constituent: Mtera
Political Party: CCM
Office Location: Box 50, Dodoma
Office Phone: +255 755 453327/+255 785 679927
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail: llusinde@parliament.go.tz
Member Status: Current Member
Date of Birth 4 March 1972
EDUCATION
School Name/Location Course/Degree/Award Start DateEnd DateLevel
Mbigili Primary SchoolPrimary Education19801987PRIMARY
CCM College IhemiCertificate20072008CERTIFICATE

Elimu za aina hii nashauri ziishie kwenye uongozi ngazi ya serikali ya mtaa! Ni wakati muafaka wa kuipa thamani elimu yetu na hata kuwavutia watoto wetu waipende kusoma kwa jitihada zote kuliko kusubiri by chances. Kama kunacondition kwenye kiti cha urais kuwa ukitaka ugombee urais unatakiwa angalau uwe na degree moja na umri flan, basi na ubunge tuanzie japo na elimu ya diploma, udiwani iwe certificate na uenyekiti wa serikali ya mtaa uanzie japo na elimu ya kidato cha nne, darasa la saba wanaweza kuwa wajumbe. We have to be serious na tuache kuamini kuwa uongozi ni kipaji. Kwa elimu hizi za form two au elimu ya darasa la saba kiongozi wa aina hii atakuwa na ubunifu au upeo kiasi gani? Je kunauwezekano mtu wa aina hii akapewa ushauri wa kitaalamu na akauelewa vizuri au unategemea kiongozi huyu ndiyo amkabiri na kumdhibiti mtu kama Prof. Mkulo enzi zake? Wakati wa uhuru ilikuwa sawa kuwa na viongozi wanaojua kuandika majina na sahihi zao tu lakini kwa sasa is not necessary. Tuipe thamani elimu yetu na wasomi wetu wenye sifa kwa maendeleo ya nchi. Nitapenda sana kama wadau mtajadiri hoja na si chama wala mtu binafsi.

Member of Parliament CV

GENERAL
SalutationHonourableMember picture
1738.jpg
First Name: Stephen
Middle Name: Hilary
Last Name:Ngonyani
Member Type:Constituency Member
Constituent: Korogwe Vijijini
Political Party: CCM
Office Location: P.O. Box 60, Korogwe, Tanga
Office Phone: +255 784 459090/+255 712 006666
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail: sngonyani@parliament.go.tz
Member Status: Current Member
Date of Birth 25 May 1956
EDUCATION
School Name/Location Course/Degree/Award Start DateEnd DateLevel
Kwamndolwa Primary SchoolPrimary Education19701976PRIMARY

Member of Parliament CV

GENERAL
SalutationHonourableMember picture
1736.jpg
First Name: Highness
Middle Name:Samson
Last Name:Kiwia
Member Type:Constituency Member
Constituent:Ilemela
Political Party:CHADEMA
Office Location:Box 1733, Mwanza
Office Phone: +255 754 977070
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail: hkiwia@parliament.go.tz
Member Status: Current Member
Date of Birth 8 October 1976
EDUCATION
School Name/Location Course/Degree/Award Start DateEnd DateLevel
Kijenge Primary SchoolPrimary Education19881991PRIMARY
Mbuyuni Primary SchoolPrimary Education19851988PRIMARY
Lake Secondary SchoolSecondary Education19921994SECONDARY
Member of Parliament CV

GENERAL
SalutationHonourableMember picture
1694.jpg
First Name: Livingstone
Middle Name:Joseph
Last Name:Lusinde
Member Type:Constituency Member
Constituent:Mtera
Political Party:CCM
Office Location:Box 50, Dodoma
Office Phone: +255 755 453327/+255 785 679927
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail: llusinde@parliament.go.tz
Member Status: Current Member
Date of Birth 4 March 1972
EDUCATION
School Name/Location Course/Degree/Award Start DateEnd DateLevel
Mbigili Primary SchoolPrimary Education19801987PRIMARY
CCM College IhemiCertificate20072008CERTIFICATE

Elimu za aina hii nashauri ziishie kwenye uongozi ngazi ya serikali ya mtaa! Ni wakati muafaka wa kuipa thamani elimu yetu na hata kuwavutia watoto wetu waipende kusoma kwa jitihada zote kuliko kusubiri by chances. Kama kunacondition kwenye kiti cha urais kuwa ukitaka ugombee urais unatakiwa angalau uwe na degree moja na umri flan, basi na ubunge tuanzie japo na elimu ya diploma, udiwani iwe certificate na uenyekiti wa serikali ya mtaa uanzie japo na elimu ya kidato cha nne, darasa la saba wanaweza kuwa wajumbe. We have to be serious na tuache kuamini kuwa uongozi ni kipaji. Kwa elimu hizi za form two au elimu ya darasa la saba kiongozi wa aina hii atakuwa na ubunifu au upeo kiasi gani? Je kunauwezekano mtu wa aina hii akapewa ushauri wa kitaalamu na akauelewa vizuri au unategemea kiongozi huyu ndiyo amkabiri na kumdhibiti mtu kama Prof. Mkulo enzi zake? Wakati wa uhuru ilikuwa sawa kuwa na viongozi wanaojua kuandika majina na sahihi zao tu lakini kwa sasa is not necessary. Tuipe thamani elimu yetu na wasomi wetu wenye sifa kwa maendeleo ya nchi. Nitapenda sana kama wadau mtajadiri hoja na si chama wala mtu binafsi.

Mkuu swala la elimu halina chama wala dini. Hapa ni lazima tuongelee system yetu kwa ujumla. Kuna sehemu nyingi sana kuna watu wasio na elimu inayowafanya wastahili kuwa pale walipo. Mbona kuna mawaziri wengi tu vihiyo, wengine wana Phd jina tu, hata hawajazisomea, wengine wako kwenye ofisi ambazo huwezi kujua ni utaratibu gani umewaweka kwenye ofisi hizo. Usiangalie bunge tu, angalia timu ya rais, angalia baraza lake, angalia , Ma RC, kuna mmoja wa ajabu kabisa eti amemwita Ulimboka ni Hitler sijui hata kama anajua Hitler ni nani dunia hii, ukiangalia ma DC ndio unaweza kuzimia kabisa, kigezo kinachotumiwa kuwapa U-DC ni mungu tu anajua, kwa hiyo sio ubunge tu ni ovyo ovyo karibu kila kona.

Kama bunge likijaa vilaza, linakuwa butu, ndio maana inakuwa rahisi hata kuhongwa na serikali. Haliwezi hata kujua kazi zake ni nini, ndio maana wengi wanaishia kulala bungeni.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom