Maandamano ya mwanza kuhusu madaktari jana kumbe alikutana kuigiza, kuimba ushairi na ngonjera | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maandamano ya mwanza kuhusu madaktari jana kumbe alikutana kuigiza, kuimba ushairi na ngonjera

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mzalendo JR, Jul 5, 2012.

 1. Mzalendo JR

  Mzalendo JR JF-Expert Member

  #1
  Jul 5, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,189
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  Ukiwatazama kwa umakini ni kama wanatafuna maji vile, ni kwamba yale maandamano ya Mwanza kulikua na Ngonjera, mashairi na maigizo. Kama ilivyo kawaida umati ulikua wa kuokoteza wakiwa takribani 150 hivi kama mtakavyotazama picha zake, kulikua na kikundi kilichoandaa kuigiza, kingine nginjera( Wakanikumbusha MUUNGANO P/S Mbeya hiyo darasa la tatu). Pia wazee waliotaka kujikumbusha enzi za malenga wetu (Redio Tanzania) walikua na shairi lao.

  Kama ulitazama taarifa za habari jana kuna TV ilionyesha kwa styl fulani kukwepa kuona kikundi cha watu 150 kupinga huduma za hosipitali zisiboreshwe na kuendelea kulala 1 by 4 (Yaani kitanda kimoja wagonjwa wanne). Halafu maandamano yale yangekua na tija basi ningetarajia kuona mchanganyiko wa Watanzania tofauti na kikundi cha fulana za Kijani tu na Kanga zilizoisha kwa maisha magumu ya ngwe hii ya JK (JUA KALI).

  Nilitazamia watoto wale waliokusanywa na kukaririshwa igizo lile wangetumia muda ule kujiendeleza kielimu kuliko kupoteza their valuable time 4 Idiotic dramaz........ Haya tazama kuanzia Aerial pic na nyingine, huyu dogo mwenye Tshirt nyekundu alikua akiigiza na TOMATO kuchafua sketi yake.......

  JK (JUA KALI) THE HOME OF DRAMA
   

  Attached Files:

 2. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #2
  Jul 5, 2012
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,638
  Likes Received: 1,427
  Trophy Points: 280
  Hongera zao.. nchi hii tuna viazi vingi mno
   
 3. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #3
  Jul 5, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  mkuu unadhalilisha viazi mkuu haya ni matikiti maji!
   
 4. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #4
  Jul 5, 2012
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 23,659
  Likes Received: 21,877
  Trophy Points: 280
  Sasa nasikia kasheshe ilizuka baadae ofisi za CCM Nyamagana kwenye posho maana waliahidiwa hiyo posho na wengi hawakupewa.
   
 5. Njilembera

  Njilembera JF-Expert Member

  #5
  Jul 5, 2012
  Joined: May 10, 2008
  Messages: 1,424
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  Aisee unadhalilisha matikiti maji! wacha haki ya Mungu kunikashifia!
   
 6. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #6
  Jul 5, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Mkuu unaweza kushiba matikiti maji, kiazi mkuu watu wa Iringa tunakiheshimu sana matikiti maji tunawapa wanyama wale si chakula cha binadam!
   
 7. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #7
  Jul 5, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Kaaya anaendeleza siasa za meru Mwanza!Kaza buti baba Dogo janja anawakilisha vema na umri wake unamruhusu kwenda vipindi 6 zaidi upo hapo?
   
 8. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #8
  Jul 5, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,725
  Likes Received: 12,784
  Trophy Points: 280
  Dhaifu
   
 9. paty

  paty JF-Expert Member

  #9
  Jul 5, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 1,256
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  matikiti maji ???? hapana hawastaili kuwa matikiti maji , nadhani ni kandambili hawa
   
 10. Mzalendo JR

  Mzalendo JR JF-Expert Member

  #10
  Jul 5, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,189
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  Jina zuri MALAPA mjomba
   
 11. controler

  controler JF-Expert Member

  #11
  Jul 5, 2012
  Joined: Jul 3, 2012
  Messages: 1,537
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hapana matikiti ni matamu mno haya ni maboga!
   
 12. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #12
  Jul 5, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Na sii wasukuma viazi tuna vihshimu sana kwa hiyo hao walio andamana hawawezi kufanani na viazi labda mavi...lakini kufanan na matoborwa, michembe nooooooooooooooooooooooooo
   
 13. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #13
  Jul 5, 2012
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Mabom ya machizi hayakuwepo?
   
 14. r

  rwazi JF-Expert Member

  #14
  Jul 5, 2012
  Joined: Nov 22, 2011
  Messages: 230
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Msiwape majina ya vyakula vyetu,haya ni ma toilet paper
   
 15. yatima

  yatima JF-Expert Member

  #15
  Jul 5, 2012
  Joined: Mar 2, 2011
  Messages: 354
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  hao ni vilaza tu
   
 16. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #16
  Jul 5, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  duu ni kweli mkuu hawa wachooni!
   
 17. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #17
  Jul 5, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Wanaintelejensia walikuwa wapi? waliruhusu vipi wakati kungekuwa na Al shababu, nchi hii inavihoja vingi
   
 18. Mzalendo JR

  Mzalendo JR JF-Expert Member

  #18
  Jul 5, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,189
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  Hahahahaaaaaaaaaa najua ujumbe umefika na picha imetazamwa. Polisia bana.............
   
 19. d

  dguyana JF-Expert Member

  #19
  Jul 5, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 426
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kaaya kama Mr. Misosi na track ya nitoke vip
   
 20. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #20
  Jul 5, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Kikwete my presidar! Kha! Nitakumisijeeeeeeeee? Una vituko wewe!
   
Loading...