Ili cdm muweze kueleweka vijijini ni lazima matangazo ya bunge yarushwe kupitia radio na hasa zile za taifa kinachotokea kwa sasa ni kwamba matangazo haya hayarushwi redioni na kama tujuavyo...
Jul 4
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama Mhe. Edward Lowassa Aongoza Wajumbe Wa Kamati Kutembelea Ubalozi wa Tanzania Washington DC
Wajumbe wa...
Kampuni tatu za madini zadaiwa kodi ya mabilioni
Wednesday, 04 July 2012 22:17
Mwandishi Wetu
Mwananchi
KAMPUNI tatu za madini zinazoendesha shughuli zake nchini, zimewekewa...
jamani kuna habari ktk mitaa yangu, zinanipa haiba ya kujua ukweli, naomba mwenye habari kamili aweke hapa, eti mhadhiri wa kiislam sheikh Nurdini Kishki katekwa nyara na watu wasiojulikana...
nimeshangazwa sana na kauli wa waiziri mkuu kufuatilia personal profile ya dr. ulimboka.
updates - alichokisema waziri mkuu:
kaeleza jinsi Dr. Ulimboka alivyowahi kuongoza mgomo wa madaktari...
Maswali;
1.kwa nini kiti kinashiriki kutoa maneno ya kuudhi na matusi ,kebehi,mizaha..mpe mfano wa kumwambia mnyika anawashwawashwa.
2.kwa nini raisi jk alizungumzia swala lililopo...
Masomo ya udaktari ni magumu na yanachukua miaka mingi (miaka mitano ya darasani na kufuatiwa na mwaka mmoja wa mafunzo kwa vitendo) kwa mtu kuwa daktari wa kawaida, miaka huongezeka zaidi...
Maazimio ya kamati
1. Tuling'amua kuna upotoshaji wa habari unaoendelea hivyo kamati ilipanga mkakati wa kulikabili hilo, mfano ni kuhusu specialists wa mnh ambao wamesemwa kuendelea na kazi na...
Click the link below:
Waheshimiwa Wabunge wa CHADEMA
Thats the link with list of Shadow Cabinet ministers ambao so far naona anayesikika kiasi ni huyo one and only Zitto. Lakini wengine wote ni...
kuna habari kuwa wagonjwa wamezidi vitanda huko hospitali ya kijeshi lugalo na sasa wameanza kurudishwa katika vituo vya afya vya karibu.hali si nzuri.
source;ndugu yangu wa karibu
KWA HISANI...
Mbunge wa Kisesa (CCM), Luhaga Mpina
Mbunge wa Kisesa (CCM), Luhaga Mpina, amesema kuwa Tanzania imekuwa ikipoteza Sh. bilioni 478 kutokana na utoroshaji wa fedha haramu kila mwaka.
Mpina...
kwa kweli nimesikitishwa sana na mwelekeo wa taifa letu hususan katika nyanja ya utumishi wa umma, kwa haya tunayoyaona kwa walimu, madaktari, nk kila wanapodai maslahi yao wana pigwa, wanatishwa...
Mh: Kwanza nakufagilia kwa msimamo na uwezo wako. Myika nakushauri kabla ya kuwasilisha ushahidi wa uhusika wa Nchemba kwenye kashfa ya EPA,kwanza mwambie spika aruhusu ushahidi uliowasilishwa na...
Posted on July 4, 2012 by zanzibaryetu
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora Haji Omar Kheri akiwasilisha Hotuba ya Makadirio na Mapato na Matumizi kwa Mwaka 2012/2013...
Katika wabunge wachovu nafikili wabunge wa Tz ni wachovu sana, kwanza wana mikwara mingi kuliko vitendo
kinachoniudhi mimi sasa, wanajua kusimama na kukalipia sana na kujifanya wanatetea maslahi...
Kwa mwananchi wa kawaida anayetaka kuelewa "Kero za Muungano" atamwelewa zaidi Tundu Lissu kuliko maelezo ya Werema. Sikusudii kusema nani ni mahiri katika fani ipi, ninataka kuangalia tu ni nani...
Wanachama wa chama cha Mapinduzi ccm wameandamana mkoani Mwanza kupinga mgomo Wa madaktari unaoendelea hivi sasa hapa nchini mwetu na kuwataka madaktari waache migomo na kurudi kazini kwa ajili ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.