Wanajamvi Bernard Membe alikuwa atoe ufafanuzi juu ya meli za Iran kusajiliwa Zanzibar na kupeperusha bendera ya Jamhuri ya Tanzania. Naomba kujuzwa kasema nini mpaka sasa.
Ni muda kidogo umepita tangu kikao cha bunge kuanza bila kumsikia Mbunge machachari Mh Nassary.
Kwani imekuwa tofauti na kauli zake akiwa kwenye Kampeni kwamba "Mimi kwangu ni vitendo tu na...
Sina haja ya kuwaponda madaktari.
Baada ya Kikwete kuwaaambia waache kazi kama wanaona mshahara hauwatoshi, leo huduma za tiba zimerejea Mahospitalini.
Sina haja ya kusema madaktari ziiiii...
Hawa jamaa wanahistoria mbaya huku nyumbani, kama mtakunikubali mbunge kwa mfano ikiwa amekaa ubunge miaka 15, siku akiondoshwa tu anakua maskini, kuna kitu gani hapo dodoma wanafanya hawa wabunge...
SIKIKA ni shirika lisilo la kiserikali linalotekeleza shughuli mbali mbali zenye lengo la kuchochea upatikanaji wa huduma za afya zenye uwiano, viwango na ubora unaokubalika, gharama nafuu na...
Makamu Mwenyekiti wa kamati hiyo ya miundo mbinu.. Mrs, Ana Malecela ameanza kusoma na kuwakilisha maoni ya kamati ya miundo mbinu.. 2012/13 bungeni, amepongeza Wizara ya Ujenzi na serikali ya...
Wakati tunaendelea kutanua tafakari zetu kwa ukatili aliofanyiwa ndugu yetu. Macho yetu mawili tuyaelekeze kwa serikali huku tukiangalia mbele lakini kuna haja ya kuweka jicho la ziada kisogoni...
Mh. Mwanasheria mkuu wa serikali Jaji Werema, amempa somo Tundu Lissu kuwa bado ni mchanga kwenye sheria, kwani yeye anajua sheria za mazingira tu na hajui sheria za katiba. Kwa maana hiyo basi...
Nikiri kuwa tamko hilo la kuridhia makubaliano ya Muungano sijaliona lakini Aprili 25 mwaka 1964 Baraza la Mapinduzi la Zanzibar lilipitisha makubaliano hayo na baadaye Bunge liliyaidhinisha,...
1. Bajeti ya serikali ikisomwa bungeni, wabunge wanapaswa kusikiliza kwa makini, kuisoma na kuielewa ili waweze kuchangia/kuijadili vizuri.
2. Kambi Rasmi ya Ushindani bungeni inatoa bajeti...
Maswali ya papo kwa papo anayoulizwa waziri mkuu kweli ni papo kwa papo au usanii tu? Nauliza hivyo kwa sababu namuona waziri mkuu anasoma majibu kwenye karatasi hasa maswali anayoulizwa na...
Bungeni leo ambapo swali la papo mbowe ameuliza kwa pinda.. kwamba jina la tanzania limechafuka duniani kote kuhusu utata na hisia kwamba serikali inahusika kwa dk, ulimboka, na nin move ya...
Written by Ashakh (Kiongozi) // 04/07/2012 // Habari // No comments
By The guardian reporter
3rd July 2012
Government of Zanzibar has said from this fiscal year doctors would be paid...
Toka kwenye gazeti la The citizen, Hii kampuni ambayo kwa sisi wa zamani tunaikumbuka kwa kuchapisha vitabu mahiri na vyenye standard nzuri kwa bei nafuu (kama kamusi ya kiswahili) nayo sasa...
KAMPUNI tatu za madini zinazoendesha shughuli zake nchini, zimewekewa vikwazo na Serikali ikiwa ni kuzishinikiza kulipa mabilioni ya fedha za kodi inazodaiwa.
Habari zilizopatikana na...
Wednesday, 04 July 2012 22:29
Boniface Meena
WIZARA ya Mambo ya Ndani ya Nchi, inaanza zoezi la kutembelea na kuhakiki taasisi zisizo za kiserikali (NGO) ambazo zimesajiliwa na Wizara...
Mod mnaoshinda online naona pia mwengefanya jambu la busara kama mungeziunganisha ,hizi topic zinazoonyesha CV za baadhi ya wabunge ,ili ziwepo pamoja kwani zimejaa kama uyoga mwitu.
Thu, Jul 5th, 2012
Tanzania |
The Union government dished out over 32,466,000,000/- to the Zanzibar government against 30,432,054,500/- approved by Parliament in 2011/12 financial year.
Ms...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.