PPF wamefanya AGM yao huko Arusha na kwa mbwembwe na mikogo ya kufa mtu na a day before hajamaliza wakatangaza kuwa mafao yamepanda from 21,000 to 50,000.....na watu walishangilia mle ndani...
Katika hali ya kushangaza leo jioni hii baada ya Mwanasheria Mkuu kushindwa kujibu hoja juu ya Muungano zilizotolewa na hotuba ya Kambi ya Upinzani (Lissu) amejikuta akisema kuwa Lissu amenukuu...
Wana JF hivi tanzania yetu inaongozwa na wasomi kweli au wajanja wachache na hata ukisema kufuatilia shule zao utagundua vitu? naona wamejaa bungeni wana miziki ,bendi etc. Hivi wanajua thamani ya...
MAMBO VP WANA JF?
Inaonekana si-hasa ndio inalipa, itakuwaje wataalamu wote madoctor , Engineers, maprofessors nao wakigombea ubunge kuzifuata hizo posho na mishahara minono, nchi hii itakuwa...
Mheshimiwa Mkono; akichangia bajeti ya wizara ya ujenzi kuhusu ujenzi wa barabara ya Serengeti; ameonya jinsi Watz wanavyoshindwa kuendelea kujenga barabara ya Serengeti akisema kuwa Kenya...
Kwenye mtandao wa Bunge kuna maelezo haya kwa Kiingereza:
Hon. Janeth Mbene, who was recently appointed Member of Parliament by President Jakaya Kikwete and subsequently as the deputy Minister...
Kujipendekeza kubaya jamani. Leo nadhani mmeona kichwa cha habari gazeti la UHURU.
Nimejiuliza hivi, ili Gazeti lina mhariri mkuu? Kasoma wapi? Nani kawambia Ulimboka ni kinara wa mgomo? Ulimboka...
wabunge wa kanda ya kigomakupitia msemaji wao mkosamali mbunge wa muhambwe,, kibondo kupitia nccr alipokuwa akichangia bungeni leo amesema kuwa wamejipanga kutopitisha bajeti hiyo kufuatia...
Baada ya Gazeti la Jamhuri kujaribu kumtakasa mtuhumiwa wa utekaji nyara wa Dr. Ulimboka, ACP Ahmed Msangi,
Tunaomba serikali itoe maelezo kwa nini mtuhumiwa mkuu ashiriki kwenye tume ya...
Mwigulu Nchemba habari za leo habari za kazi.
Kwa sababu wewe ni mchumi na umewahi kufanya kazi BOT naomba utusaidia mambo mawili matatu.
1. EPA ni nini
2. Wizi wa EPA ulianza mwaka gani na...
Madaktari.
Hivi kabla ya kugoma mlijaribu kupitia na kusoma sherai za kazi?
Kama mlipitia sheria za kazi je mnaweza kueleza kuwa mgomo mliofanya ni halali?
Je mnazitambua taratibu zinazotakiwa...
Aliposrma kuwa madaktari wasiotaka kufanya kazi katika mazingira yaleyale na kwa kamshahara kalekale wajiondoe swali likaumbika kwangu - je wale viongozi wasiionesha uongozi na ambao ndio tatizo...
Aliingia madarakani kwa kauli mbiu ya Ari Mpya Nguvu Mpya. Kasi Mpya wengine walimuona kweli Chaguo la Mungu Kaulimbiu iliyogeuka kuwa janga la taifa na chama chetu tukufu CCM. Katika kipindi...
Heshima kwenu wakuu,
jana jumatano nilijiweka tayari luningani kupata darasa adhimu litolewalo na huyu profesa alietukuka na msomi wa hali ya juu sana,ajabu ni kwamba hakutokea,hii ikaniletea...
Mwanasheria yeyote kabla ya kutamka kitu hiki kiko vipi ni lazima atazame msimamo wa kisheria kwa wakati huo anaozungumza isipokua tu kama anawasilisha maoni yake kuhusu hiyo kitu na awe amesema...
Baadhi ya Wajumbe wa Tume ya mabadiliko ya Katiba wakiwa katika Mkutano wa Tume hio na Waandishi wa Habari uliofanyika Bwawani Mjini Zanzibar.
Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Joseph...
Kwa upande wangu hasa katika kipindi hiki tukielekea katika maadalizi ya katiba mpya ningeomba vyombo vya habari viandike au vitoe taqarifa sahihi na sio kupotosha watu kwani kwasasa imeonekana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.