Chadema iende kanda ya ziwa- mwanza, shy, geita, mara, shimiyu, kagera | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema iende kanda ya ziwa- mwanza, shy, geita, mara, shimiyu, kagera

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by fikirikwanza, Jul 5, 2012.

 1. f

  fikirikwanza JF-Expert Member

  #1
  Jul 5, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 5,935
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Kanda ya ziwa tunahitaji kuongea na viongozi wa CDM, ngazi ya taifa ili kufahamu juu ya mambo mbalimbali yanayolikabiri taifa. Tunajua yapo mengi sana, tunataka tushiriki kupata mstakabari wa taifa.

  Tungependa pia kupitia mikutano hiyo kuwaona viongozi wetu mkoa na wilaya wakiwasilisha mada mbalimbali hususani hali ya kisiasa katika maeno yao. Ni wazi wakati umefika hawa viongozi wa mikoa na wilaya kuongea tena sana na kwa takwimu. Tungefurahi pia idadi ya wanaCDM hai kuanza kujulikana wilayani, mikoani hadi taifa. Je tunawanachana takribani wangapi? tunasogea mbele au stagnant, au tunarudi nyuma???

  Viongozi mtusikie.
   
Loading...