Jamani tutafika kweli?
Mimi naweza nikawapongeza ma DR kwa njia moja ya kuamuwa nao kuingia kwenye siasa na propaganda za kukubali wanachokisema wanasiasa ya kua wapo kazini lakini kwa hali...
Leo gazeti la Kulikoni limetoa mwanga kuhusu usajili wa utata wa meli za mafuta uliofanywa na serikali ya Zanzibar (SMZ), meli zinazodaiwa kumilikiwa na kampuni za Iran.
Tanzania imekabiliwa...
hivi hawa waheshimiwa hizi taarifa zao za elimu ziko sawa kweli?, kuna sababu ya TCU kuanza kua na MENO na KUCHA kufanya kazi yake, kama viongozi elimu zao ni za kubambia kweli taifa litaelekea...
Kwa sasa kumezuka mtindo ambao watu fulani wanatakiwa kustaafu ama muda unafika wa kustaafu kwa kuwa anastaafu akiwa anaongoza idara ama taasisi fulani unasikia kapewa likizo ya kustaafu ya siku...
Watanzania wenzangu hasa walimu wa kada zote pamoja na wakufunzi wa vyuo,serikali imetangaza kuongeza mishahara ya watumishi kwa asilimia 15-20 lakini gharama ya maisha imepanda zaidi...
wanazuoni wamekusanyika kuzungumzia mafanikio na mitazamo yao kuhusu demokrasia ya vyama vingi baada ya miaka 20,, namuona mhe, john tendwa na mhe, nape nauye,,
Bungeni sasa hivi;
Membe amewataka wale marafiki wa Tanzania wa vyama vinavyopigia debe ndoa za jinsia moja na ambao wametishia kusitisha misaada ya uchumi kwa nchi ambazo hazikubali ndoa ya...
Katika hali ya kuchanganyikiwa na sek seke za Nchemba, Mh. Mnyika alijikuta akijiingiza matatani bure kwa kudai kwamba Nchemba naye ni mhusika wa wizi wa EPA pale BOT. Sasa Nchemba laiingia BOT...
Katika hali ya kushangaza gazeti la Raia Mwema toleo la leo limeripoti kuwa mgomo wa madaktari nchini unachochewa na chama kimoja cha upinzani kikishirikiana na kundi moja ndani ya CCM linalotaka...
Kwa taarifa yenu nyinyi mnaotumwa kutufanya tuamini vinginevyo:
Watanzania tulio wengi tumeamua kuwaamini CHADEMA kwa sasa hata kama mnasema ni Chama cha kidini, kikanda au kikabila. Hadi hapo...
Ndugu zangu,
Mkutano wa Rais na Wazee wa Dar es Salaam haukufanyika jaan Ijumaa saa kumi kama ilivyopangwa. Na hautafanyika leo Jumamosi saa tano. Utafanyika Jumatatu saa kumi jioni...
nilikuwa ninaaangalia taarifa ya habari ya star tv, na nikakutana na habari hii kwamba watu 19 wamefariki dunia kutokana na mgomo wa madaktari katika hospitali ya bugando. sasa kama idadi hii ni...
Nimepata tetesi jioni hii kuwa kuna daktari katekwa na kupigwa vibaya huko mbeya, waliopo mbeya naomba kujua ukweli wa jambo hili!! kama ni kweli basi hizi ni kuni mpya za mgomo wa mdr. ee mola...
Wakuu sorry kuuliza
KUna waziri mmoja (wakati huo) mtoto wake aliua live na picha zikabandikwa, tena waliteka nyara kabla ya kuua.... nijuavyo mimi ile kesi ilihusisha dhuluma,
Naomba mwenye...
Tangu mgomo uanze 23/06/2012 wagonjwa 19 wamefariki katika hospitali ya mkoa Mwanza ya Sekou Toure. Akihojiwa na Startv mganga mkuu wa hospital hiyo ina interns 20 ambao waligoma ila hadi sasa 6...
PPF wamefanya AGM yao huko Arusha na kwa mbwembwe na mikogo ya kufa mtu na a day before hajamaliza wakatangaza kuwa mafao yamepanda from 21,000 to 50,000.....na watu walishangilia mle ndani...
Katika hali ya kushangaza leo jioni hii baada ya Mwanasheria Mkuu kushindwa kujibu hoja juu ya Muungano zilizotolewa na hotuba ya Kambi ya Upinzani (Lissu) amejikuta akisema kuwa Lissu amenukuu...
Wana JF hivi tanzania yetu inaongozwa na wasomi kweli au wajanja wachache na hata ukisema kufuatilia shule zao utagundua vitu? naona wamejaa bungeni wana miziki ,bendi etc. Hivi wanajua thamani ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.