Mabere Marando njoo utueleze ya Ulimboka... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mabere Marando njoo utueleze ya Ulimboka...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by zomba, Jun 30, 2012.

 1. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #1
  Jun 30, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Siku za nyma nilisoma nyuzi humuhumu JF kuwa Mabere Marando ni mwana usalama wa taifa na alikuwa ni mmoja katika watesaji wa awamu ya kwanza, na alikuwa akiwatesa wafungwa wa kisiasa huko Mafia.

  Kwa hilo na kwa kuwa ni kijana wa Ikulu, aje kutwambia yaliompata Ulimboka, kunani? Kamanda tunae ndani ya nyumba halafu tunahangaika kuupata ukweli?

  Mabere jitokeze ueleze...
   
 2. mpenda

  mpenda JF-Expert Member

  #2
  Jun 30, 2012
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 250
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Mkiti wake ashasema. We kamwite jeikei
   
 3. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #3
  Jun 30, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,798
  Likes Received: 3,884
  Trophy Points: 280
  ndio umetoka kwa mama muuza nini?
   
 4. F

  Froida JF-Expert Member

  #4
  Jun 30, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  Nadhani ungemwita Ridhiwani au Halfani Kikwete watoto wa jumba wakisaidiana na mumiani aka Ahmed Msangi mtoto wa mareheme Msangi Pacha wa RPC wa Simiyu
   
 5. mpenda

  mpenda JF-Expert Member

  #5
  Jun 30, 2012
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 250
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Kawaulize waliowashughulika kina imran kombe, kolimba, mwakyembe et al.. Nnadhani unawafahamu we zoba
   
 6. F

  FJM JF-Expert Member

  #6
  Jun 30, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  zomba, ni siku ya tatu sasa umekuwa unatumia nguvu kubwa sana ku-shift blame za huu mkasa wa Dr Ulimboka kwa sababu unazojua mwenyewe. Inaudhi.
   
 7. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #7
  Jun 30, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Na wewe leo ya ngapi unapeleka huu udhalim kuwaelekezea serikali? Au ndio unashadidia nchi isitawalike?
   
 8. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #8
  Jun 30, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Wha a Far-fetched Zombi thread of this magnitude!!! Dhaifu kabisa na wala hakuna u-Great Thinker wowote mle ndani.
   
 9. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #9
  Jun 30, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Kighoma Malima, Hanga, mbona umewasahau?
   
 10. F

  FJM JF-Expert Member

  #10
  Jun 30, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Nchi gani isitawalike wakati mmepewa onyo na mabwana zenu marekani?
   
 11. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #11
  Jun 30, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 549
  Trophy Points: 280
  Alafu naona umejisahau kweli kweli, hivi unafikiri hii serikali ni ya watu wachache, sababu unajitahidi kuitetea as if sisi wengine sio sehemu yake, mtizamo huu ni ushahidi tosha kwamba haujitambui, au unafikiri tumesusa, tuko hapa kusafisha serikali yetu, ni watu wachache kama nyie mnaoitetea kama vile mmeingiwa na mapepo ndio mnaongeza watu hasira.

  viongozi wengi wa serikali yetu na nyie vibaraka wao mmekuwa kama vile mmerogwa, it is very interesting namna mnavyopersonalize mambo ya serikali, yaani mnabehave mkionyesha imani kubwa sana kwamba sisi tunamsimamo usiokuwa na interest yoyote ile na serikali yetu.

  Kwa taarifa yako, interest yetu ndio inaongezeka kwa kasi zaidi kila ushenzi mnaoufanya unavyodhihirika.
   
 12. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #12
  Jun 30, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Unatumia nguvu kuhamisha concentration za watu lakini hapa huwezi labda kajaribu kwa mazombi wenzako
   
 13. Mimibaba

  Mimibaba JF-Expert Member

  #13
  Jun 30, 2012
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 4,566
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Nilikuwa natarajia wakati wo wote utatuletea mbivu na mbichi kuhusiana na unyama wako, ccm, na serikali dhaifu katika sakata hili. Unaomba msaada kwa Marando? Hii dhihaka ya karne. Kumbe kukomaa kwako kote kutetea ***** humu huna kitu. Nimekudharau sana
   
 14. Wachovu

  Wachovu JF-Expert Member

  #14
  Jun 30, 2012
  Joined: Jun 25, 2012
  Messages: 1,197
  Likes Received: 388
  Trophy Points: 180
  Serikali dhaifu uuwa watu hilo mnapashwa kulijua ,maana they cant deliver na kila mtu anakuwa adui.Wanaogopa kutoka madarakani na hawawezi kuongoza nchi, watakuwa makuadi wa mafia, Tanzania tumeishafika hapo. Usalama wa Taifa ni wauaji wakubwa wapo kulinda viongozi dhaifu , subiri dhaifu atoke madarakani yatafichuka mambo mengi
   
 15. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #15
  Jun 30, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Tunataka kujuwa hii ndio maana ya "nchi haitatawalika"?
   
 16. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #16
  Jun 30, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Tunangoja onyo kutoka CDU.
   
 17. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #17
  Jun 30, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,325
  Likes Received: 1,791
  Trophy Points: 280
  The system is so bitter that Dr. Ulimboka is still alive. Why? Some of the guys can't even hide their anger. I have seen and heard some guys speaking like wounded lions! By why zomba?
   
 18. Mimibaba

  Mimibaba JF-Expert Member

  #18
  Jun 30, 2012
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 4,566
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Kwa hiyo Marando ndiye atakupa jibu kwa sababu huoni kuwa tayari nchi tayari haitawaliki?
   
 19. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #19
  Jun 30, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Hiyo ndio sababu ya kumtesa Ulimboka? ili nchi isitawalike au sio?
   
 20. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #20
  Jun 30, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Naona una jaribu kupromote hii thread lakini imeshindikana 85% ya comment ni zako mwenyewe ajiri watu wakusaidie kwi! Kwi! Kwi! Kwi! Kwi! Kwi!
   
Loading...