Chama kipya chasajiliwa Tanzania

Alvin Slain

JF-Expert Member
Aug 30, 2011
6,375
3,655
Msajili wa vyama vya siasa nchini ndugu John Tendwa amekisajili kwa muda Chama Cha Ukombozi wa Umma (CHAUMA) kikiwakilishwa na mwenyekiti wa muda ndugu WALESI MAYUNGA.
 
Msajili wa vyama vya siasa nchini ndugu john tendwa amekisajili kwa muda chama cha chama cha ukombozi wa umma (CHAUMA)

Nafikiri hao wanachama kama wangeiunga mkono kwa kujiunga na Chadema,.ingekua vema sana
 
Will it help in 2015 or its a wastage of time and energy ,jamani ni haki yao ya kikatiba lakini naona wananchi wamejikita zaidi kwenye vyama vitano any way lets wait and see
 
sio cha hemedi msangi na majambzi wenzie!? Lord Have Mercy!
 
chama cha zitto kabwe, huku kigoma tunajiandaa kuhamia chama zitto, ukabila wa chadema umetuchosha.
 
Nafikiri hao wanachama kama wangeiunga mkono kwa kujiunga na Chadema,.ingekua vema sana

Chadema sio chama ww , ni wanaharakati. Na kuna mpango wa kukifuta kwenye orodha ya vyama vya siasa isajiliwe kwenye wizara ya mambo ya ndani ambapo wanaharakati walio na NGOs zao ndiko wanakosajiliwa na cdm ikasajiliwe huko
 
Swali:.Nitajie majina ya vyama vya siasa viwili vilivyo shindana na kupishana kwa kura chache 2010 general election...

Ukianza na kilichoshinda kwenda cha pili.
 
Chadema sio chama ww , ni wanaharakati. Na kuna mpango wa kukifuta kwenye orodha ya vyama vya siasa isajiliwe kwenye wizara ya mambo ya ndani ambapo wanaharakati walio na NGOs zao ndiko wanakosajiliwa na cdm ikasajiliwe huko

is this how you can comment?
but i know this is how children comments
 
Huo ni mkakati uluopangwa na ccm kuwachanganya watu ili kupunguza kura ktk uchaguzi ujao hasa vijijini hebu tamka maneno hayo CHAUMA na CHADEMA usikie utaona tofauti ni ndogo sana ktk matamshi jambo ambalo litawachanganya na wasiojua kusoma.
 
Msajili wa vyama vya siasa nchini ndugu John Tendwa amekisajili kwa muda Chama Cha Ukombozi wa Umma (CHAUMA) kikiwakilishwa na mwenyekiti wa muda ndugu WALESI MAYUNGA.

Viache vije.Kwani kile cha Hamad Rashid kilichoiga mpaka bendera ya CDM kimefia wapi?
 
Back
Top Bottom