Abdul Aonekana Ubalozi wa Afrika kusini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Abdul Aonekana Ubalozi wa Afrika kusini

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by QUALITY, Jul 4, 2012.

 1. QUALITY

  QUALITY JF-Expert Member

  #1
  Jul 4, 2012
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 854
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Taarifa zisizo rasmi zimeeleza kuwa yule mtu aliyempigia simu dr. Ulimboka kuja wafanye mazungumzo, na hatimaye kutekwa ameokenana ubalozi wa Afrika kusini akiomba VISA ya kwenda Afrika kusini (pritoria).

  Ziko hisia kuwa anamfuatilia Ulimboka alikoenda kutibiwa ili aweze kukamilisha kazi aliyopewa na Ikulu

  My take: Ulinzi unapaswa kuimarishwa huko ili hawa wanyama toka Chama Cha Mabwepande (CCM) wasifanikiwa kutoa uhai wake.

  Ziko taarifa kuwa dr. Ulimboka ameombewa ulinzi ( https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/287319-dk-ulimboka-aombewa-ulinzi-the-amnesty-international-ubalozi-wa-tz-afrika-kusini-wahaha.html ) kama hili lingefanikiwa, ingekuwa bora sana.

  Quality
   
 2. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #2
  Jul 4, 2012
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,692
  Trophy Points: 280
  Naye atakuwa Jasusi uchwara sana......
   
 3. iron2012

  iron2012 JF-Expert Member

  #3
  Jul 4, 2012
  Joined: Feb 16, 2012
  Messages: 358
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  wasiwasi wenu tu kwa hiyo mtu asisafiri kwenda afrika kusini kisa Dr ulimboka makubwa
   
 4. m

  mtendaji wa kijiji JF-Expert Member

  #4
  Jul 4, 2012
  Joined: Jul 3, 2012
  Messages: 539
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Mliopo viwanja vya ndege!! Hebu chunguzeni siku ya kuondoka huyu jamaa ili tutoe taarifa mapema kwa walio na Ulimboka
   
 5. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #5
  Jul 4, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Watakuwa wametupiana lawama na mabosi wake, maana alishindwa kukamilisha kazi aliyopewa!
  kwenda africa kusini kwa ajili ya ulimboka ni kuchanganyikiwa tu!
   
 6. m

  mob JF-Expert Member

  #6
  Jul 4, 2012
  Joined: Dec 4, 2009
  Messages: 2,027
  Likes Received: 505
  Trophy Points: 280
  kwa sasa kwenda afrika kusini huhitaji visa
   
 7. Ally Kanah

  Ally Kanah JF-Expert Member

  #7
  Jul 4, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 1,433
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  Wee nawe ni great thinker kweli?
   
 8. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #8
  Jul 4, 2012
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  was 'bout to question the same damn thang..jf imekua ni uanja wa udaku na pumba, no longer an intellectual salon.
   
 9. M

  Moony JF-Expert Member

  #9
  Jul 4, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 1,593
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Kama particulars zake zipo kwa nini Interpol isiarifiwe just kwa tahadhari?????
   
 10. a

  afwe JF-Expert Member

  #10
  Jul 4, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 4,087
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160

  Pamoja na kuwa walilolifanya juu ya kujaribu kupunguza nguvu ya mgomo wa madaktari wamelifanya kijinga, sitegemei kama wataendelea kufanya kosa kumtumia mtu huyohuyo kuendeleza ujinga wao. Ila ni vema kujua kuwa kuna haja ya kumlinda Ulimboka kwa kila namna kuepuka nguvu ya dhamira chafu waliyonayo
   
 11. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #11
  Jul 4, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  kwanza kama haujui Dr.Ulimboka yuko Ujerumani sio SA...sijui mnatoaga wapi habari hizi uchwara...
   
 12. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #12
  Jul 4, 2012
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,067
  Likes Received: 1,805
  Trophy Points: 280
  man kwani tunahitaji visa kwenda S.AFRICA! ..?!
   
 13. N

  Ndakilawe JF-Expert Member

  #13
  Jul 4, 2012
  Joined: Jul 6, 2011
  Messages: 4,084
  Likes Received: 1,475
  Trophy Points: 280
  unauhakika jombaa. au unataka kutuweka katika tension na uongo wako....
   
 14. s

  sikiolakufa JF-Expert Member

  #14
  Jul 4, 2012
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 411
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  huhitaji visa kwenda south africa siku hizi unatakiwa kuwa na yellow fever vaccination card tu acheni uongo
   
 15. M

  Majala Kimolo JF-Expert Member

  #15
  Jul 4, 2012
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 344
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Nashangaa!!!!!!!!! huu udaku unaharibu jamvi. JF imekuwa sio ya great thinkers tena bali mahala pa udaku na uzushi.
   
 16. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #16
  Jul 4, 2012
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,067
  Likes Received: 1,805
  Trophy Points: 280

  watu kama hawa utakuta wabishi sana... utakuta hata passport hajawahi kumiliki .... utakuta hii habari ka copy blog flani kaja ku paste JF
   
 17. KALYOVATIPI

  KALYOVATIPI JF-Expert Member

  #17
  Jul 4, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,419
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  Muwe wepesi sana kutuwekea picha ili wakiingia kwenye anga zetu tuwasanue kabla awajatusanua.
   
 18. kisururu

  kisururu JF-Expert Member

  #18
  Jul 4, 2012
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 332
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hapa kidogo umepotoka,SA hakuna haja ya visa ndugu,passport tu ukiwa nayo bendeni unaenda
   
 19. W

  Wakuti JF-Expert Member

  #19
  Jul 4, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 379
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Inaonekana wewe una chuki binafsi na CCM. Viongozi wenu wanadai ni usalama wa taifa sasa usalama wa taifa na CCM wapi na wapi? Mazingira yanaonesha CDM inahusika ili iichafue serikali na Usalama wa Taifa. Haiwezekani ktk bajeti zao waishutumu idara ya usalama kabla hata tukio la Ulimboka halijatokea ina maana bajeti zao zimeandaliwa juzi juzi tu? Hawa walijua kila kitu kuanzia kupanga migomo mpaka kumtesa ulimboka kwa kutumia watu wao waliopandikiza ktk usalama.

  Viongozi wenu walishadai wana watu wao usalama wanaowapa habari za serikali bila shaka hawa ndio waliotumika kwa Ulimboka kwa sababu wametumwa na watu ambao hawana utaalamu wa kutesa watu wao ni wanasiasa. Ushahidi wa ulimboka mwenyewe unadai kuwa walikuwa wanashauriana wampige sindano ya sumu, risasi mwisho wakapatana wamgonge na gari. hapo utaona hawa hawakutumwa na idara ya usalama wa Taifa maana kama iliwatuma wangejua wanatakiwa kufanya nini na nini wameambiiwa wafanye na sio wao wenyewe kushauriana cha kufanya.

  Msiipake matope idara ya usalama wa taifa maana imetukuka na inafanya kazi na serikali yoyote iwe ni ya CCM au CDM
   
 20. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #20
  Jul 4, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Huu sio ukweli, Mtanzania hahitaji VISA kwenda Afrika ya Kusini kwa sasa, ilifutwa.
   
Loading...