Bungeni updates

Ndekirhepva

JF-Expert Member
May 18, 2012
371
44
wakuu nazitafuta clips motomoto yani current za bungeni, kwenye hizi kama siku tatu nne hivi zimepita, chama langu ambalo naamini ni chama letu limewashika wadhaifu vizuri kweli, sasa sijui nizipate wapi, kwenye you tube nime cheki ila sijaona, au nakosea ku search??
kama ninakosea ku search, ni search vipi ili nizipate??
mfano natafuta clips za Mh.Mnyika, nikwamueni hapa kwenye tuta plz, my shukrani jamani natanguliza
:clap2::clap2:
 
Tatizo la kusoma computer course, miezi sita. Unafanyakazi Stationery nini?
 
Back
Top Bottom