Kwanini tawi la CHADEMA USA? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini tawi la CHADEMA USA?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by baajun, Jul 24, 2012.

 1. b

  baajun JF-Expert Member

  #1
  Jul 24, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 200
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  -Kutoa idea chanya kwa CHADEMA, mfano, blogs, security ya viongoz (nyumba zao kua na camera), kutengeneza ushahidi mikutanoni (kila mkutano uweunarekodiwa manake magamba wakishindwa wanatupeleka mahakamani kuwa tulicheza faulo kwenye uchaguzi-Ulinzi kwa Viongozi wanavyo kuwa matembezini na mikutanoni lazima wawe na boardigad at least walinzi 4. Mlinzi sio adefendi tu, bali anaweza kuwa kama shahidi wa tukio (video camera)

  -TUKISIKIA KIONGOZI WETU KAFA KIPUUZI PUUZI TU e.g Dr. Slaa, Ndg. Mnyika, Ndg Mbowe etc. Tutaujurisha ulimwengu. KIVIPI? Tunawanachama wa CHADEMA kwenye data base ( emails, numbers, na tuna blogs na facebook pages) TUNAITANA NA KUWA NA MABANGO, TUNAANDAMANA KWENDA KWA OBAMA (WHITE HOUSE) NA TUNAHAKIKISHA DUNIA INAYAONA MAOVU YA SERIKALI YA TANZANIA. KUANDAMANA HAKUNA LIMIT- INAWEZA KUWA HAKI HAIJATENDEKA, TUNAANGALIA AMBACHO CHADEMA TZA WANAFANYA NA SISI TUNAANDAMA.

  Ni hayooo tu, kuna mengi leo naishia hapa. To be continued...
   
 2. m

  mambomengi JF-Expert Member

  #2
  Jul 24, 2012
  Joined: May 16, 2009
  Messages: 829
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  kam mkwara wa mbu juu ya neti.....
   
Loading...