Nape: Marando futa kauli kuwa CCM tuna mashine ya kutunga SMS za kihuni... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nape: Marando futa kauli kuwa CCM tuna mashine ya kutunga SMS za kihuni...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by only83, Jul 21, 2012.

 1. only83

  only83 JF-Expert Member

  #1
  Jul 21, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  ........Nape amemtaka Marando afute kauli au adhibitishe kauli yake. Nae Mwigulu kaonyesha kimemo alichoandikiwa na kamanda Mbowe na kusema kuwa kilikuwa na lugha kali sana, na amesema kuna siku kamanda Mbowe alienda akampiga biti live akiwa na Chiligati.

  Source : ITV
   
 2. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #2
  Jul 21, 2012
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  anamjuwa marando au anamsikia?
   
 3. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #3
  Jul 21, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Nape anafikiri yupo bungeni na Ndugai ndio anaongoza! Atakaa sana.
   
 4. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #4
  Jul 21, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Leo kaongea kwa upole sana. Bila shaka ni kwa sababu anatambua umahiri wa Marando.
   
 5. B

  Bob G JF Bronze Member

  #5
  Jul 21, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 2,354
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Kimsingi Mwigulu anakera na havumiliki kwa kusema uongo tena wa maisha binafsi ya mtu, havumiliki kabisa, ni mzushi na ana maombo ya kitoto sana
   
 6. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #6
  Jul 21, 2012
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,352
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  mbona hii wamejibu haraka baada ya dili lao kushitukiwa. Marando huwa hakurupuki hata siku moja..........nape mpeleke mahakamani marando akakupe ushahidi...........
   
 7. B

  Bob G JF Bronze Member

  #7
  Jul 21, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 2,354
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Nape kachemsha ujanja wa kitoto utawaumbua sana ccm
   
 8. Sir R

  Sir R JF-Expert Member

  #8
  Jul 21, 2012
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 2,177
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Si mambo ya kitoto, ana mambo ya kijinga.
   
 9. Simba mnyama

  Simba mnyama JF-Expert Member

  #9
  Jul 21, 2012
  Joined: Jul 14, 2012
  Messages: 348
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hivi punde MWIGULU NCHEMBA na katibu mwenezi wa magamba, Nape Nnauye wamekanusha tuhuma nzito zilizotolewa juu ya mtoto wa kigogo mmoja wa CCM kuingiza mtambo wa kutengenezea messages hapa nchini. Mimi nasema kuwa, Kama kweli tuhuma hizo ni uongo na uzushi basi waende mahakani. Vinginevyo umma unaamini kuwa hutuma hizo ni kweli tupu.
   
 10. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #10
  Jul 21, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,709
  Trophy Points: 280
  Atakuwa anamsikia tu, asiombe kukutana naye uso kwa uso kisheria!!!
   
 11. Sir R

  Sir R JF-Expert Member

  #11
  Jul 21, 2012
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 2,177
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Mtoto wa kigogo mwenye mashine ni nani ,

  Atakuwa Miraji JK nini ?
   
 12. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #12
  Jul 21, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  ccm wanaipata wapi jeuri ya kumpeleka mahakamani Mabere Marando?
  Katika hili wataishia kuzunguka mbuyu kwakuwa wanajua Marando habahatishi!
   
 13. S

  Seif al Islam JF-Expert Member

  #13
  Jul 21, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 2,158
  Likes Received: 141
  Trophy Points: 160
  angekuwa na hakika na anayosema angelienda mbali zaidi kutaja hatua watakazochukua kama marando hatatekeleza walichosema.lakini kwasababu ni wababaishaji wameishia kunmtaka marando afute kauli bila kutaja hatua kama atakaidi.this is the best a dead body can do.
   
 14. Sir R

  Sir R JF-Expert Member

  #14
  Jul 21, 2012
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 2,177
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Leo Mwigulu amekuwa mpole nafikiri mambo yamemfika
   
 15. Sisomeki

  Sisomeki Senior Member

  #15
  Jul 21, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 148
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  hakuna kauli sisi software engineers tunajua how its be done labda iwe zimetumwa kweli nipo tayari kutuma software link humu ambayo can verify kama was sent via victim cell phone provider au laaaa, can also be used kama ushahidi
   
 16. Mohamedi Mtoi

  Mohamedi Mtoi R I P

  #16
  Jul 21, 2012
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,326
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 0
  Ccm wamesha wahi kututumia txt za aina hiyo tangu mwaka 2010 walivyo kuwa wanamchafua Slaa iweje leo waseme wanasingiziwa kuwa na huo mtambo? Mbona hawakukana kumchafua Dr ile 2010? Wameshikwa pabaya.
   
 17. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #17
  Jul 21, 2012
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,352
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  mwaga mkuu ndiyo raha ya JF
   
 18. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #18
  Jul 21, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  kwani Marando alisema wahusika ni ccm au mtoto wa kigogo wa ccm, kwani Nape ndo huyo mtoto wa kiongozi wa juu wa serikali mpaka atoe kauli yeye?au kiherehere kinamsumbua?
   
 19. OKW BOBAN SUNZU

  OKW BOBAN SUNZU JF-Expert Member

  #19
  Jul 21, 2012
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 22,800
  Likes Received: 17,885
  Trophy Points: 280
  Mwigulu anajisahau sana, sasa yanamkuta.......anasahau kuwa shughuli anayofanya ni kuopoa maiti (CCM) na sio kuokoa maiti
   
 20. E

  Elizabeth Dominic Platinum Member

  #20
  Jul 21, 2012
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 4,547
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  wangetumia tu busara ya kunyamaza yaishe maana washalikoroga vya kutosha..............kiwango cha jeuri na rabsha anazoleta Mwigulu sijui uwa anafikiriaga consequences zake au anafanya kwakuwa anaweza.............2015 si mbali ujue.........tic toc.........tic toc
   
Loading...