Picha: Mkutano wa CCM Kigoma

escober

JF-Expert Member
Jan 12, 2011
391
98
attachment.php


attachment.php


attachment.php


attachment.php


attachment.php



Huu ni mkutano wa CCM jana Kigoma pamoja na mbwembwe nyingi za matangazo wananchi wa Kigoma wameonesha kuwa CCM haitakiwi Kigoma. Inabidi mikoa mingine iige huu msimamom wa kuikataa CCM.
 

Attachments

  • 1. Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, TAMISEMI, Aggrey Mwanri akihutubia, kwenye Uwanja wa Com.jpg
    1. Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, TAMISEMI, Aggrey Mwanri akihutubia, kwenye Uwanja wa Com.jpg
    51.1 KB · Views: 2,670
  • 2. Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akihutubia kwenye uwanja wa Community Centre Mw.jpg
    2. Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akihutubia kwenye uwanja wa Community Centre Mw.jpg
    53.9 KB · Views: 2,542
  • 3. Waziri wa Nchi Ofsi ya Rais, Steven Wasira akihutubia kwenye  Uwanja wa Community Cetre Mwang.jpg
    3. Waziri wa Nchi Ofsi ya Rais, Steven Wasira akihutubia kwenye Uwanja wa Community Cetre Mwang.jpg
    41.4 KB · Views: 3,774
  • 4. Naibu Waziri wa Uchukuzi Charles Tzeba akihutubia kwenye Uwanja wa Community Cetre, Mwanga Ki.jpg
    4. Naibu Waziri wa Uchukuzi Charles Tzeba akihutubia kwenye Uwanja wa Community Cetre, Mwanga Ki.jpg
    46.4 KB · Views: 2,465
  • 5. Mamia ya wananchi waliofurika kwenye mkutani wa CCM katika Uwanja wa Community Centre, Mwanga.jpg
    5. Mamia ya wananchi waliofurika kwenye mkutani wa CCM katika Uwanja wa Community Centre, Mwanga.jpg
    52.3 KB · Views: 2,466
CCM inatumia rasilimali zetu vibaya. Hawa mawaziri wanaongoza serikali YETU sote. Kuna haja ya kustipulate kwenye katiba mpya kwamba WAZIRI wa Serikali asiwe na affiliation na chama chochote cha siasa
 
Ukitaka kujua CCM imechokwa hifadhi hizi kwenye kumbukumbu halafu M4C ikifika kule jaribu kupata picha,nyomi lake unaweza kujikuta hata nafasi/position ya kupiga picha inakuwa utata
 
Lakini pamoja na yote kujaza watu kwenye mikutano au la kwa magamba "it is not a big deal" bali wanacho paswa kufanya ni kutekeleza ahadi na si vinginevyo. Mie nawashangaa sana kwa nini wanapoteza muda kwenye hii mikutano? wanadhani imani waliyo poteza kwa wananchi itarudishwa na mikutano ya hadhara? kwani wao bado wanatafuta ridhaa ya kuongoza? yaani kama ni kufa basi huku ni kufa vibaya. Watu wanataka waone umeme, maji barabara, uwanja wa ndege wa kimataifa pale Kigoma kama walivyo ahidiwa na ahadi nyingine nyingi kama mkulu alivyo zitoa. Sasa hata huo uwanja watu wa Kigoma walioahidiwa hakuna hata dalili za kuanza kuujenga wanakimbilia mikutano ya hadhara! Magamba this strategy will not save you..better die hard but not like this..
 
Wanakigoma nao wametuangusha...ilitakiwa wasijitokeze kabisa,kwa magamba hapo hiyo ni nyomi ya kufa mtu...:disapointed:
 
Nape atakuja kutuambia kwamba watu walienda Zanzibar kuzika ndugu zao waliokufa kwenye ajali ya MV. Skagit.
 
CCM ni kama Jeshi linalokwenda kushindwa. Maana wametumia mgambo, makuruti, makoplo, masajent n.k sasa wanatumia makomandoo.
 
Waache waendelee kupaka rangi upepo...na kwa taarifa yao katika huo umati wapo upinzani pia.and what if kama wasingerekebisha mambo flan ya wese kwa vijana wa boda boda na futari kwa wengi?ingekuwaaa:sleepy:
 
Back
Top Bottom