Bunge na mwelekeo wa kuwa na namna ya 'roll- call' | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bunge na mwelekeo wa kuwa na namna ya 'roll- call'

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by babykailama, Jul 24, 2012.

 1. babykailama

  babykailama JF-Expert Member

  #1
  Jul 24, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 241
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Hakika kama ilivyo kwa wananchi wengine wote, Wabunge nao wanatakiwa kuwajibika ipaswavyo wawapo Bungeni na majimboni kwao.
  Hata vivyo, je wananchi wanapata picha gani ya chombo hiki kikubwa katika nchi chenye Viongozi wengi walioaminiwa na wananchi kama inafikia hatua ya wao (Wabunge) kulazimishwa kuwa wanasaini orodha ya mahudhurio ili kujua kama kweli wanawajibika (wanahudhiria vikao vya Bunge) au la?
   
Loading...