Nawaunga Mkono UAMSHO- Muungano Uvunjwe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nawaunga Mkono UAMSHO- Muungano Uvunjwe

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Muke Ya Muzungu, Jul 23, 2012.

 1. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #1
  Jul 23, 2012
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  -Kwa mtu yeyote mwenye kutafakari maswala kwa undani, utaona umuhimu wa kuisikiza hoja na hata kuwaunga mkono hoja ya wana UAMSHO kuitaka Zanzibari kujitenga kutoka kwenye muungano. Kosa wanalofanya UAMSHO ni kuliingiza hii hoja kwenye kivuli cha UDINI. Mimi kama mtanzania bara, sioni sababu yoyote ya kuwakandamiza hawa wazanzibari kubaki kwenye muungano. Waachwe waende zao.

  -Kwanza Zanzibar inaionyonya Tanzania bara. Ni sehemu ndogo sana kulinganisha na mikoa mingine kama Shinyanga, Mwanza Kilimanjaro na NK, ila wana serikali yao, na kila kitu chao hadi na bunge. Kwa nini Mwanza wasiwe na Bunge?

  -Badala ya kuwa ngangari kuwapiga mabomu, wasikilizeni hawa watu, ikiwa hawautaki muungano waacheni waende zao. Ramani ya Tanzania itabaki pale pale. Kwanza hakuna mtanzania anayeruhusiwa kununua ardhi Zanzibar na wafanyakazi wengi kule ni Wakenya

  Nawakilisha  ---------------------------------
  Edward Lowassa for president 2015
   
 2. u

  uhurubado JF-Expert Member

  #2
  Jul 24, 2012
  Joined: Mar 25, 2007
  Messages: 393
  Likes Received: 195
  Trophy Points: 60
  hakika na wewe u mwanauamsho!
   
 3. T

  Taso JF-Expert Member

  #3
  Jul 24, 2012
  Joined: Jun 12, 2010
  Messages: 1,649
  Likes Received: 458
  Trophy Points: 180
  Kama Zanzibar inainyonya Tanzania Bara kwa nini unasema Wazanzibari wanakandamizwa?
   
 4. Nyenyere

  Nyenyere JF-Expert Member

  #4
  Jul 24, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 8,567
  Likes Received: 1,931
  Trophy Points: 280
  Wakati wenzio wanachezea mabomu ya moshi na risasi weye wawaunga mkona mtandaoni! Si uende huko na wewe ukachome makanisa!
   
 5. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #5
  Jul 24, 2012
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,202
  Likes Received: 864
  Trophy Points: 280
  Muungano ni kitu gani?
   
Loading...