Kwa hili vyama vya upinzani hususani CHADEMA sijawaelewa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa hili vyama vya upinzani hususani CHADEMA sijawaelewa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Nyanya mbichi, Jul 23, 2012.

 1. Nyanya mbichi

  Nyanya mbichi JF-Expert Member

  #1
  Jul 23, 2012
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 3,212
  Likes Received: 1,337
  Trophy Points: 280
  Napata shida sana kuelewa kwa nini inakuwa hivi.

  Bajeti inasomwa inachangiwa wenye kuiunga mkono wanaiunga na wenye kuipinga wanaipinga
  mimi sio mwanachama wa CHADEMA ila napenda sera zao nyingi na Mbunge au kiongozi (LEADER) mmoja mmoja ingawa Shibuda type siwapendi.

  Tatizo langu ni pale mnapopinga kuipitisha ( GENERAL BUDGET) inayosomwa na waziri wa fedha na zile bajeti ndogondogo za wizara
  zinazosomwa na Mawaziri wenye dhamana. Kwa nini mnazipinga then mnazichangia na kuomba muwekewe mafungu ya fedha kwa ajili ya maendeleo ya majimbo yetu?

  Kwa nini msingesusa moja kwa moja kuchangia hoja zenyewe?
   
 2. k

  kipuri Senior Member

  #2
  Jul 23, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 157
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Point!
   
 3. makusanya

  makusanya JF-Expert Member

  #3
  Jul 23, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 551
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  Nenda kawaulize kwanza kwanini wabunge wa ccm wanaunga mkono bajeti asilimia mia ya mia kabla ajaanza kuongea then dakika zote zilizosalia anaikosoa.

  Jibu la swali lako utalipata 2015.
   
 4. M

  MAWAZO JUNIOR Member

  #4
  Jul 23, 2012
  Joined: Jul 22, 2012
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kama lilivyo jina lako na akili zako still baddo mbichi,
   
 5. Tukundane

  Tukundane JF-Expert Member

  #5
  Jul 23, 2012
  Joined: Apr 17, 2012
  Messages: 8,312
  Likes Received: 2,677
  Trophy Points: 280
  Ili uweze kujibiwa hoja yako km inavyotakiwa ninaomba ulete ushahidi au mfano wowote kuhusu hili.wapinzani nao huwa wanawakirisha bajeti zao na hoja.je nilini bajeti ya wapinzani ilisha wahi kuungwa mkono na ccm?.wapinzani huwa wanatoa hoja na ushauri mzuri sana. Je nilini hoja zao na ushauri wao ulionekana mzuri kwa ccm?.na walizifanyia kazi?.
   
 6. H

  Hurricane Member

  #6
  Jul 23, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 52
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Wanzipinga kwa sababu zina mapungufu lukuki kama unavyosikia michango yao makini wakihitaji maboresho ikiwa ni pamoja na hayo mafungu kwa majimbo yao yawekwe. Sasa hapo hauelewi nini?? Acheni hizo bana..
   
 7. JamboJema

  JamboJema JF-Expert Member

  #7
  Jul 23, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,148
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Wanachofanya, wanajua ccm hawatawasikia, ila wananchi watawasikia hoja zao zilivyonzito japo zimebezwa na watachambua
   
 8. Nyanya mbichi

  Nyanya mbichi JF-Expert Member

  #8
  Jul 23, 2012
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 3,212
  Likes Received: 1,337
  Trophy Points: 280
  CCM wabunge wao ninawaelewa kwa unafki wanaoufanya
  kwa kulalamika kuwa bajeti haiwaangalii walala hoi na serikali kuwasahau mwisho wanaiunga mkono hoja kiukweli hakuna mbunge wa CCM ninae mkubali
   
 9. Nyanya mbichi

  Nyanya mbichi JF-Expert Member

  #9
  Jul 23, 2012
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 3,212
  Likes Received: 1,337
  Trophy Points: 280
  shukrani naamini ninajifunza zaidi
   
 10. Nyanya mbichi

  Nyanya mbichi JF-Expert Member

  #10
  Jul 23, 2012
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 3,212
  Likes Received: 1,337
  Trophy Points: 280
  nimekuelewa mkuu

  shukrani sana mungu akubariki
   
 11. Nyanya mbichi

  Nyanya mbichi JF-Expert Member

  #11
  Jul 23, 2012
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 3,212
  Likes Received: 1,337
  Trophy Points: 280
  CCM janga la Taifa huwa wanakubali ila kutekeleza ndio inakuwa tabu
   
 12. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #12
  Jul 23, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,953
  Likes Received: 1,278
  Trophy Points: 280
  mkuu wewe hauna tuhela twako NSSF?
   
 13. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #13
  Jul 23, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145

  Hahahahaha !
   
 14. Lawrence Luanda

  Lawrence Luanda JF-Expert Member

  #14
  Jul 23, 2012
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 706
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33

  Hii ni win win situasion..........kupinga ni kuonyesha mapungufu yaliyopo ukiwa mbunge wa Kitaifa ( Kwa falsafa ya Mbowe kuwa Mbunge mmoja wa CDM ni sawa na wabunge 300 wa magamba).......kuomba mafungu ni kuwasimamia wananchi wako kule jimboni walau hata magamba wakiipitisha bajeti kwa wingi wao wasikose chao.
   
Loading...