CUF yaanza rasmi M4C yao ya kuangamiza nguvu ya CHADEMA Morogoro Mjini!

AdvocateFi

JF-Expert Member
Jan 15, 2012
11,492
5,040
Habari wakuu!

Kwa siku sasa ya 6 nikiwa hapa moro mjini ni juzi tarehe 21 tu pale viwanja vya fire mjini, chama cha CUF kilifanya mkutano wake ambapo katika ajenda zake viongozi wake ambamo akiwemo na mbunge mmoja wa CUF, waliishambulia CHADEMA kwa makombora mazito kwa kuponda viongozi wake hasa dr.slaa na kusema kwamba ana PHD FEKI ya kidini, pia na kuishutumu CHADEMA kwamba ni chama cha kikristo na kikabila.

Mungu si athumani jana tena jioni tarh 22 CHADEMA ilifanya M4C palepale na kukusanya kundi kubwa la vijana na wananchi wa moro mjini ambapo elimu ya uraia ilitolewa na mwisho wa mkutano watu wengi kwa hiari yao wakajitolea michango yao ya malaki ya fedha kwa ajili ya M4C .

My outlook:
CDM tufumbuke macho sasa kwani CUF ndio hvyo kaanza kazi aliyotumiwa na bwana wake CCM.
 
Najua hawana mambo mapya zaidi ya Hakiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
M4c in Islamic Jihad. Progiessive campaigning for UAMSHO... Hakuna kitu hapo, wasifikiri huku bara watu wana mpango wa kuchoma makanisa kama huko kwao...
 
Hawa wezi moto wa chadema kama waumezao CCM wameushindwa watakuwa wake zao...M4C ya chadema inga angani siku hizi leo tumefanya mikutano kwenye kata 10 huko simanjiro kesho tena hivyo hivyo kisha tuna hamia jimbo jingine huwezi kutulinganisha na wanaofanya mikutano mara moja kwa wiki, wakati sisi kwasasa tunaingia vijijini ambako CCM hutegemea kuchakachua....
 
ingekuwa waislam wangelalamika na hili .
1.rais kikwete ni mislam.
2.makamu wa rais bilal.muislam.
3.jaji mkuu athuman chande muislam.
4.mkuu wa polisi said mwema muislam.
5 mkuu wa usalama wa taifa othman mislam.
6 katibu mwenezi ccm muislam.
kwa mtazamo wangu sina tatizo nao tatizo ni utendaji wao lakini wangekuwa ni wao na mamluki wao wanauamsho na cuf ingekuwa ni suala la dini.lakini hapa nawaunganisha pinda,ana makinda,mukama,mwanasheria mkuu wa serikali wote ni janga la taifa si kwa dini zao kwa chama chao ni cha majambazi kwa taifa letu mungu tuweke hai 2015 tuondoe hawa mafisadi
 
Oyaa Shardcole; M4C ina hati miliki na ina wenyewe. Si kila political campaign ni M4C. Hati miliki ya hao inaitwa UAMSHO!
 
Last edited by a moderator:
Hawa wezi moto wa chadema kama waumezao CCM wameushindwa watakuwa wake zao...M4C ya chadema inga angani siku hizi leo tumefanya mikutano kwenye kata 10 huko simanjiro kesho tena hivyo hivyo kisha tuna hamia jimbo jingine huwezi kutulinganisha na wanaofanya mikutano mara moja kwa wiki, wakati sisi kwasasa tunaingia vijijini ambako CCM hutegemea kuchakachua....

mkuu hapo umenena kwani CUF hana malengo tena ya kushika dola.
 
Oyaa Shardcole; M4C ina hati miliki na ina wenyewe. Si kila political campaign ni M4C. Hati miliki ya hao inaitwa UAMSHO!

masahihisho;
palipoandikwa uamsho pasomeke "muamusho" kizenji eeh!!
 
Last edited by a moderator:
Habari wakuu!

Kwa siku sasa ya 6 nikiwa hapa moro mjini ni juzi tarehe 21 tu pale viwanja vya fire mjini, chama cha CUF kilifanya mkutano wake ambapo katika ajenda zake viongozi wake ambamo akiwemo na mbunge mmoja wa CUF, waliishambulia CHADEMA kwa makombora mazito kwa kuponda viongozi wake hasa dr.slaa na kusema kwamba ana PHD FEKI ya kidini, pia na kuishutumu CHADEMA kwamba ni chama cha kikristo na kikabila.

Mungu si athumani jana tena jioni tarh 22 CHADEMA ilifanya M4C palepale na kukusanya kundi kubwa la vijana na wananchi wa moro mjini ambapo elimu ya uraia ilitolewa na mwisho wa mkutano watu wengi kwa hiari yao wakajitolea michango yao ya malaki ya fedha kwa ajili ya M4C .

My outlook:
CDM tufumbuke macho sasa kwani CUF ndio hvyo kaanza kazi aliyotumiwa na bwana wake CCM.
Kitakachozidi kuimaliza kafu ni vita yake kwa cdm..! Kila mmoja nchini anajua miaka 50 ya uhuru tumekuwa chini ya magamba bila mafanikio na sasa kunahitajika mabadiliko ambayo yatatutoa hapa tulipo lakini wao badala ya kupambana na ukweli wa mambo wanakuja na staili ile ile ya magamba.. hakika itawagharimu.
 
Kina nani hao wanaoendeleza unafiki mwezi huu.Hao ni makafiri,huu ni wakati wa kujitakasa kwa waislam.Hii ndo tofauti ya Waislam wa CUF toka Zanzibar na hawa wa bara.
 
Kina nani hao wanaoendeleza unafiki mwezi huu.Hao ni makafiri,huu ni wakati wa kujitakasa kwa waislam.Hii ndo tofauti ya Waislam wa CUF toka Zanzibar na baadhi ya hawa wa bara.Leo Waziri wetu wa miundombinu kajiuzulu Zanzibar kwa maslahi ya umma kwa sababu ndivyo uislamu unavyofunza.
 
alaahh...uamsho washaingia morogoro...si mchezo...wachungaji na wenye makanisani jiangalieni vizuri huko
 
Kwa kauli hizo cuf wanazidi kujidhihilisha kuwa wao na ccm ni dam dam.(ccm b)
 
tehetehe so walikuwa wana kampeni huku wamebana pua tehetehe mke mkbwa nae anajitutumua kwa bwana ake ccm eeenh
 
ameshindwa bwana ataweza bibi?mbwa aliyeng'oka meno huyo anabweka tu kung'ata hawezi.Wapi mtatiro bingwa wa kutokwa povu?
 
Back
Top Bottom