Nape hii ndio sera ya CCM mkuki kwa nguruwe?

bashemere

Senior Member
Jul 17, 2012
175
20

1. Hussein mwinyi waziri wa afya=mtoto wa Ally Hassan Mwinyi.
2. vita kawawa na dada wake wabunge wa CCM =watoto wa Rashid Kawawa.
3. David matayo mbunge na naibu waziri wa CCM=mtoto wa Cleopa Msuya.
4. Binti wa sokoine mbunge CCM Arusha=mtoto wa Edward Sokoine.
5. Mtoto wa bilali mbunge wa east africa CCM=mtoto makamu wa rais bilal.
6. Makongoro Nyerere=mtoto wa nabii wetu wa Tanzania Nyerere.
7.Nape nauye katibu mwenezi CCM=babake ni Nnauye alikua kada wa ccm

naomba mwenye majina zaidi atujuze.
8.mtot wa Getrude Mongela ni mkuu wa wilaya moja Tz.
Nape anapowasema CHADEMA kwamba ni chama cha ukoo hapo juu vipi ?
 
Hivyo vyeo wamegombea hawajapewa,, kama chadema strong kuweni na democrasia watu wagombeee nafasi ya Mbowe ,,,mpeni Zito, Mnyika, Halima Mdee, Tundu lisu wote hawa ni vijana makini tunaowaamini hapo nitaamin chama chetu CDM kina Democrasia ya kweli
 
mbona u.s.a George bush na Baba yake wote wamekua marais wa nchi hiyo.. shida sio kua dungu, me naona shida kama kuna upendeleo wa vyeo vyao na kama hawajui kufanya kazi zao.
 
Nape ni mjinga asiyejitambua.....anapenda kuropoka......ana sifa za kijinga sana!
 
Nape namjua dhaifu sana,kuna siku hakufanya mtihani wa siasa kipindi tunasoma,akajifungia chooni analia kisa kuna Mwalimu alikuwa anamvizia demu wale.
 
Ni kwel wengi wa watoto wa makada na viongoz wa CCM, huwa wanapitia milango ya nyuma kupata hizo nafas na ndo mana wengi wao wana uwezo mdogo kiuongoz. Kwahiyo Nape asijianike sana. Kupeana ni utamadun wa CCM zaid kuliko Chadema, kwhyo kama ni mambo ya ukoo, CCM kuna vitukuu vyenye vijukuu.
 
Huyu pamoja na yule jamaa ambaye zamani alikuwa anaitwa Lameck kabla ya kuitwa Mwigulu huwa hawaoni kabisa!
 
Kupeana si tatizo cha msingi je wanatimiza wajibu ipasavyo? Waafrika wengi ndo jadi yetu hata toto la mkubwa liwe na mtindio wa ubongo atawaongezeni mpende au msipende. Baba akiwa kiongozi basi walio karibu na baba hula zaidi kwa kumsifu hata anapofanya kitu kibaya maana asili yetu ina koo chache wasiopenda kulamba na kufuta/kubebea mkubwa mzigo wake bali kuwaheshimu. Koo hizi hazipatikani ukanda wa pwani kwani ukanda huo unaongozwa kwa sehemu kubwa na unafiki wa urafiki na kujifu kwa wingi. Kama tutaendelea kupata viongozi wanaotokea ukanda huo wa pwani ni nadra sana kukuta mtu mwenye msimamo wa maamuzi yake.
Watu hawa hawana historia ya kukatalia mtu kwa kile anachotaka bali hushirikiana naye huku akilalamika kama kalazimishwa huku alipewa uhuru wa kuamua. Maamuzi yao ni imara zaidi ni katika ndoa kuoa/kuacha lakini si katika uongozi wa jamii kubwa.
 
Back
Top Bottom