M4C: watinga Simanjiro.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

M4C: watinga Simanjiro..

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Crashwise, Jul 23, 2012.

 1. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #1
  Jul 23, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  M4C yatua kwa olesendeka kwa chopa, Wakazi wa mjini Arusha leo Asubuhi walijitokeza kwenye uwanja wa NMC kuwaaga makamanda watatu Lema, Ole Milya na Mawazo walipokuwa wanajianda kupanda chopa kuelekea Simanjiro watakoenda kufanya mikutano kwenye kata 14 yaani leo kata 7 na kesho kata 7 kisha wataelekea kwa jimboni kwa Lusinde kabla ya kutua jimboni kwa Wasira.

  [​IMG]
  Waandishi wa habari wakiwa busy kuchukua matukio kwenye uwanja wa NMC leo Asubuhi .
  [​IMG]
  Chopa iliyowabeba Lema, Ole Milya na Mawazo ikiruka kuelekea Simanjiro.
   

  Attached Files:

 2. KASHOROBANA

  KASHOROBANA JF-Expert Member

  #2
  Jul 23, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,249
  Likes Received: 406
  Trophy Points: 180
  WE WISH YOU ALL THE BEST MAKAMANDA WETu
   
 3. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #3
  Jul 23, 2012
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Mungu yuko na nyinyi, Ole Sendeka Bye Bye!!!
   
 4. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #4
  Jul 23, 2012
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,530
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Sikujua kama idadi kubwa ya Watanzania hawana ajira rasmi mpaka nilipoona picha ya waliokwenda kuangalia Helcopta ikiruka
   
 5. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #5
  Jul 23, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  ole sendeka atawaliziwa na kale kappresha kake,
   
 6. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #6
  Jul 23, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  m4c IKITOKA HUKO NAOMBA IENDE JIMBO LA ISIMANI IRINGA KWA LUKUVI, LAZIMA ATIMULIWE 2015
   
 7. KIJOME

  KIJOME JF-Expert Member

  #7
  Jul 23, 2012
  Joined: Jun 7, 2012
  Messages: 3,079
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Ole sendeka asipokun...y...a safari hii sijui...go go makamanda wetu!!!!
   
 8. A

  Asa79 JF-Expert Member

  #8
  Jul 23, 2012
  Joined: Jul 19, 2012
  Messages: 591
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Very good news
   
 9. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #9
  Jul 23, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Mpaka sasa wameshfanya mikutano kwenye kata za Ndovu, Naberera na Orekesimeti.Mpaka sasa wameshfanya mikutano kwenye kata za Ndovu, Naberera na Orekesimeti.
   
 10. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #10
  Jul 23, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  chama kiko kwenye damu yao..wakiona flag tu nyomi ya kufa mtu....
   
 11. Mimibaba

  Mimibaba JF-Expert Member

  #11
  Jul 23, 2012
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 4,566
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Hujakosea kwani hata rais hajui hili. Mbaya zaidi hana mpango wa kutengeza ajira rasmi.
   
 12. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #12
  Jul 23, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  [​IMG]

  kila Rhakheri ma Kamanda M4C forever, mpaka kieleweke
   
 13. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #13
  Jul 23, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Umekubali chadema ni kiboko
   
 14. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #14
  Jul 23, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  M4C! Haitawaponyesha hawa mafisadi!
   
 15. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #15
  Jul 23, 2012
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,659
  Likes Received: 4,755
  Trophy Points: 280
  Hii ndiyo kazi tunayotaka kuona inafanyika, wacha wale viwavi wa pale lumumba wakomalie hapa JF kuikashifu Chadema na viongozi wake wakati ni asilimaia ndogo sana ya watz wana ingia humu.

  CCM inachekesha kweli baada ya tathmini ya yule mlevi wao kuwa JF ilichangia kupunguza kura zao mwaka 2010 basi wote wamehamia humu jamvini.

  Msako huu uendelee hadi 2015 kitaeleweka tu, oh mara chama cha wachaga , mara cha wakatoliki, mara cha ukanda wa kaskazini, wacha magamba yaendelee kuweweseka makamnada chapeni mwendo tu.
   
 16. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #16
  Jul 23, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Baada ya simanjiro, itaelekea kwa bingwa wa kutukana jukwaani na kisha kwa bingwa wa kulala bungeni...
   
 17. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #17
  Jul 23, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160


  Ningetamani sana wawe wamekwenda na card ya kutosha!
   
 18. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #18
  Jul 23, 2012
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,645
  Likes Received: 1,437
  Trophy Points: 280
  OLe Sendeka nadhani ma... yanagonga pichu na kurudi! M4C ina balaa kubwa sana
   
 19. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #19
  Jul 23, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Crashwise unawakilisha vema pande zile chalii yangu.......endelea kutupia hayo maphoto ya mikutano ya makamanda.Elimu hii lazima ingine down to the earth mpaka kieleweke.Wakati wao wana igiza CDM wanakata mbuga wakijashtuka kumekucha.
   
 20. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #20
  Jul 23, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Wana Simanjiro ni watu wa amani mambo ya kwenda kwenye mikutano na sime sio mazuri angalizo kwa wana Chadema na wana CCM hatutaki damu imwagike.
   
Loading...