ANNA MAKINDA hutendei haki KANUNI ZA BUNGE..,Acha UDIKTETA!

mkayala

JF-Expert Member
Feb 25, 2009
555
72
Kwa kweli kanun zinakiukwa tu na Bunge linaendeshwa Kidikteta...INAWEZEKANA UMEWEKWA KWA MASLAH YA WACHACHE!
 
Elimu pia ni kigezo cha utendaji mbuvu coz sheria aijuayo yeye ni ile alosoma mwaka wa kwanza wa Advance Diploma yake (Business Law). Ukiongeza na yuko pale kwqa mgingo wa kina nani.....Basi tena mwanya ka pengo au pengo ka mwanya?
 
Tumtafutie MWANAUME wa kumuwezesha, nina hakika hawezeshwi ndiyo maana hawezi!.
 
Kuna huu msemo wa "Busara za Kiti" unaotumiwa na spika, naibu na wenyeviti wa mijadala kuzima hoja za wabunge. Hivi tangu lini kiti kikawa na busara? Hivi chanzo cha huu msemo ni kanuni ipi? Kwa kweli sipendi kuusikia huu msemo kwani nikiusikia tu najua kuna maamuzi ya kipuuzi yanafanyika nyuma ya kivuli cha "Busara za Kiti".
 
Wadau UHURU bado haujapatikana toka kwa mkolonio CCM, sasa ni juu yetu sisi wananchi km tunataka kuendelea kunyanyaswa na yule ajuza pale au tuikomboe nchi yetu
 
Huyo mama ana laana ya kutembea na askofu wa jimbo fulani

Sema tu mkuu wangu,,we dare to talk openly! in short binafsi namchukia kutokana na mambo yake ya hovyo kwenye Bunge japo kwa upande mwingine anatetea unga wake kwa kufuata malekezo ya aliyemweka,,
 
Kwa kweli kanun zinakiukwa tu na Bunge linaendeshwa Kidikteta...INAWEZEKANA UMEWEKWA KWA MASLAH YA WACHACHE!

Kwani hukumbuki kuwa alifuatwa nyumbani kwake na akina Rostam na wenzake na wakaahidi kumpigia kifua apate uspika? Lengo lilikuwa kumuweka ili awalinde mafisadi kwani Sita alishindwa kufanya kazi hiyo. Haya ni matokeo yake hata kama mwanzoni alipohojiwa na vyombo vya habari kuwa amepandikizwa alikana lakini anachokifanya kinathibitisha yote.
 
huyu "BI KIROBOTO" muacheni ajifanye yeye ndo kila kitu wakati yuko single,nilitegemea kuona posti yake kwenye love connect,tatizo hana kichwa cha familia ndo maana anaendesha bunge kwa kutumia .............................
 
Samahani, umesema ni Spika au Makinda?
Makinda ni ndege wadogo wanaotegemea wazazi wao kwa kila kitu.
 
Elimu pia ni kigezo cha utendaji mbuvu coz sheria aijuayo yeye ni ile alosoma mwaka wa kwanza wa Advance Diploma yake (Business Law). Ukiongeza na yuko pale kwqa mgingo wa kina nani.....Basi tena mwanya ka pengo au pengo ka mwanya?

Ndugu yangu historia ni mwalimu mzuri sana; kama ukirudisha mkanda nyuma ukajiuliza ni kwa nini Anne Makinda ni spika wa bunge la Tanzania, alifikafika je katika nafasi hiyo na katika mazingira gani unapata jawabu lisilo na mashaka; agenda ilikuwa kumg'oa Mzee wa kasi na viwango Samuel Sitta ambaye CCM walikuwa wanamtuhumu kwa kukisaliti chama chake kwa sababu alikuwa anawapa wabunge wa upinzani nafasi sawa ya kuchangia hoja mbali mbali jambo ambalo lilisababisha madudu mengi ya serikali ya CCM kuibuliwa na kuwekwa hadharani; kashfa moja kubwa ilikuwa ile ya RICHMONDULI iliyomg'oa Edward Lowassa kutoka kwenye uwaziri mkuu, kwa hiyo ukaasisiwa mkakati wa kumg'oa Sitta akawekwa Makinda na matokeo yake ndio sindimba unayoiona bungeni sasa hivi, makinda, naibu wake na wenyeviti wa bunge wanatekeleza mkakati huo; pamoja na hayo kaa kwa amani watanzania wameshaamka mbinu hiyo itawasaidia kwa muda tu halafu itasambalatika, kuna mbinu nyingi za kuleta mabadiliko ya kweli katika nchi yetu sio lazima kupitia bungeni!
Daima kumbuka: Haki huwa haitolewi kwenye sahani kama zawadi bali Haki hudaiwa na kupiganiwa; M4C oyee!
 
Back
Top Bottom