kama hii igekuwa chadema ccm wangesema udini

Status
Not open for further replies.

andrews

JF-Expert Member
Mar 28, 2012
1,679
152

1.kikwete muislam.
2.bilali makamu wa rais muislam.
3.jaji mkuu othman chande muislam.
4.mkuu wa polisi said mwema muislam.
5.mkuu wa usalama wa taifa othman muislam.
6.nape nauye katibu mwenyezi wa ccm muislam.
7.mwenyekiti wa uwt sophia simba muislam .
TATIZO NI WAO WAO WENYEWE SIO DINI ZAO UKIWAONGEZA HUMO .
PINDA.
MUKAMA.
ANA MAKINDA
MWANASHERIA MKUU WA TANZANIA.
MKUU WA MAJESHI
PIUS MSEKWA.
HAWA WOTE TUNAWALAUMU KWA UTENDAJI WAO NI WAZANDIKI WAFILISI WA TAIFA LETU WALA RUSHWA,WAUZAJI WA TAIFA LETU WATUMIAJI UBABE LAKINI NI UFISADI WAO NDIO TUNAOULAANI SIO DINI ZAO.NA SASA CCM KWA KUSHIRIKIANA NA CUF NA WANAUAMSHO WANA AJENDA YA KUTUMIA UKRISTO NA UCHAGA KUWAHADAA WATANZANI POLENI CCM,CUF NA WANAUAMSHO.NATOA HOJA
 
1.hussein mwinyi waziri wa afya=mtoto wa ally hassan mwinyi.
2.vita kawawa na dada wake wabunge wa ccm =watoto wa rashid kawawa.
3. David matayo mbunge na naibu waziri wa ccm=mtoto wa cleopa msuya.
4.binti wa sokoine mbunge ccm arusha=mtoto wa edward sokoine.
5.mtoto wa bilali mbunge wa east africa ccm=mtoto makamu wa rais bilal.
6.makongoro nyerere=mtoto wa nabii wetu wa tanzania nyerere.
7.nape nauye katibu mwenezi ccm=babake ni nnauye alikua kada wa c
naomba mwenye majina zaidi atujuzecm.
8.mtot wa getrude mongela ni mkuu wa wilaya moja tz.
nape anapowasema chadema kwamba ni chama cha ukoo hapo juu vipi ?

duhh bado wiliam malecela anavutiwa pumzi,ila mm naona ndo system ya nchi nyingi duniani tusilaumu sana sema wao ccm wanatumia njia ya ukabila na udini kukibomoa chadema lakini si wote walio chadema ni wachaga,hii dhana ya udini ndo mbinu walioitumia kuiua cuf,.......ni maono tu usjenge chuki
 
Udini unaonekana cdm tuu kumbe ila wht i believe tusijaribu kuchagua mtu eti kwa sababu ni dini fulani lazima tuangalie uwezo wa mtu!
 
tatizo la ccm wanfikiri ni wajanja kuliko watz wengine bado mikataba hewa tutaiweka humu na wahusika ni watoto na mashemeji wa vigogo
 
​inabidi tuwabane kila kona mpaka zuzu tumuelimishe wajue hawa ni maharamia wa taifa
 
Tuwekeeni na wabunge wa viti maalum chadema ili tupime wapi kunafaa'maana wote mko sawa tu ccm na cdm undugunaizesheni umejaa sana tu
 
Kwangu mimi hoja si dini. Huwa sipendi wenzangu wa upande wa pili wanavyo penda angalia kila dini ya mtu kwa hiyo kwa upande wangu sipendi kufanya hivyo pia.
 
1.hussein mwinyi waziri wa afya=mtoto wa ally hassan mwinyi.
2.vita kawawa na dada wake wabunge wa ccm =watoto wa rashid kawawa.
3. David matayo mbunge na naibu waziri wa ccm=mtoto wa cleopa msuya.
4.binti wa sokoine mbunge ccm arusha=mtoto wa edward sokoine.
5.mtoto wa bilali mbunge wa east africa ccm=mtoto makamu wa rais bilal.
6.makongoro nyerere=mtoto wa nabii wetu wa tanzania nyerere.
7.nape nauye katibu mwenezi ccm=babake ni nnauye alikua kada wa c
naomba mwenye majina zaidi atujuzecm.
8.mtot wa getrude mongela ni mkuu wa wilaya moja tz.
nape anapowasema chadema kwamba ni chama cha ukoo hapo juu vipi ?
9. Mtoto wa kike wa Mzindakaya = Mbunge
10. Mtoto wa kiume wa Mzindakaya = Rafiki ya Prince kawa mkuu wa Wilaya
11.Mtoto wa Mwinyi = Ni Mbunge wa Afrika ya Mashariki
12. Mtoto wa Malecela = Katibu kata Kivukoni
13.Mtoto wa Makamba = Naibu waziri
14. Mtoto wa Makamba = Mkurugenzi VODACOM
 
Alafu wote vilaza. ivi uyu makamu wa rais kwanza ndo kilaza namba moja yupo kama hayupo vilee...yaani yupo yupo tuuu
 
Du bora ww wa Kiborloni nigawie na mm nishushie na Safari, maana UDINI umeshaanza na Topic humu hakuna tena leo
 
wapinzani wa ccm wengi wanachuki na uislam / waislam ... FACT!

NAONA MAJINA YA KIISLAM UME HIGHLIGHTS NA KUKOLEZA WINO MWEKUNDU ..... NA BADO !! MTAKOLEZA SANA TU
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom