Urais 2015 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Urais 2015

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by akashube, Jul 23, 2012.

 1. akashube

  akashube JF-Expert Member

  #1
  Jul 23, 2012
  Joined: Dec 24, 2009
  Messages: 411
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Wengi wanazumgumza mengi kuhusu Rais anayefaa 2015. Watanzania wengi bado wanadhani urais ni mchezo(Game) kama ilivyo Bongo Star Search au American Idol ama Big Brother Africa, Kagame Cup, UEFA Champions League, Olympique games e.t.c.

  Mtazamo wa kimchezo kuhusu taasisi ya Urais ndiyo unaosababisha Africa iwe Africa, Ulaya iwe Ulaya na Marekani iwe Marekani n.k.
   
 2. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #2
  Jul 23, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  ushauri huu ungesikika zaidi iwapo hulka ya watanzania ingekuwa ni kusikia,kuelewa na kufanyia kazi.
   
 3. Remmy

  Remmy JF-Expert Member

  #3
  Jul 23, 2012
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 4,718
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  heee...kwani we nani mbona vitishoo?
   
 4. hovyohovyo

  hovyohovyo JF-Expert Member

  #4
  Jul 23, 2012
  Joined: Jul 8, 2012
  Messages: 540
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Brilliant. But how?
   
 5. akashube

  akashube JF-Expert Member

  #5
  Jul 23, 2012
  Joined: Dec 24, 2009
  Messages: 411
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Mimi ni mwananchi.
   
 6. MATESLAA

  MATESLAA JF-Expert Member

  #6
  Jul 23, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,252
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  ngoja niangalie zangu used car under us dola 1000 sijui ninunue lipi
   
 7. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #7
  Jul 23, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Uraisi unakwenda kwa Chadema tu ,nina uhakika na hilo.
   
 8. Remmy

  Remmy JF-Expert Member

  #8
  Jul 23, 2012
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 4,718
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Kweli una hasira!
  Angalia usije ukauawa wewe.
  Nakushauri tumia tactic nzuri ya kuwaelemisha wapiga kura wamchague anayefaa.
   
Loading...