Jamani nimesikia kuwa Rais Kikwete amesaini muswada wa kufanyia marekebisho ya Sheria ya Mafao (NSSF etc) na kwamba sasa ni rasmi wafanyakazi hawatalipwa mafao yao hadi watakapofikia umri wa...
Baada ya meli ya Skagit kuzama, kumekuwa na hoja nyingi za kilichosababisha ajali hiyo, na nani anastahili kubeba lawama kutokana na janga hilo. Leo nimesoma kwenye gazeti kuwa mmiliki na nahodha...
Kama kawaida yake, leo hii spika Anne Makinda, kwa jazba, alikataa ushauri uliomtaka aamru bunge kurudia upya zoezi la kupitia bajeti ya wizara ya kilimo na ushirika fungu kwa fungu. Mtoa hoja...
Ukisoma Kitabu cha Ayubu sura 26 : 6 mstari huu unasema hivi......
"Mauti iko wazi mbele za Mungu,
uharibifu haukufunikwa"
Then ukisoma Kitabu hichohicho cha Ayubu 27 : 12 mstari unasema...
Wadau naomba kuuliza ikiwa je kazi ya ualimu na udaktari kama wanavyodai serikalini kuwa ni kazi ya wito, kwa nini kazi ya ubunge isiwwe ya wito pia??? Madaktari wanasomea huo udaktari kwa...
CHAMA Cha Mapinduzi(CCM) kimemtaka Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema, Freeman Mbowe kuwataja hadharani wabunge 70 kutoka na mawaziri saba wa CCM, ambao wameomba kujiunga na chama hicho cha upinzani...
Nimefuatllia kwa karibu sana vipindi vya midahalo ya upatikanaji wa katiba mpya TBC kutoka sehemu mbalimbali nchini, kwa sasa, na kwa kweli wananchi wanaonyesha ukomavu na ujasiri wa hali ya juu...
Kamwe hatutazoea tabia ya kichwa kimoja cha MWENDAWAZIMU (jei kei nyrr) kilazimishe kuwa mawazo yake ndio sahihi kwa watalaamu wa kila KADA. Kwa sasa kieleweke Wazanzibar wataondoka na kichwa cha...
Power sharing agreements imekuwa ndio mtindo mpya hasa kwa nchi za Africa ili kuweza kuondoa uwezekano wa Civil war,tumeona miaka ya karibuni nchi za Kenya na Zimbabwe zikiingizwa kwa nguvu na...
PROSTITUTION and trafficking of narcotic drugs has adversely affected good ties between China and Tanzania. More than 100 Tanzanians are serving jail terms for trafficking of narcotic drugs, while...
Hawa jamaa wao ndo wananufaika na muungano lakini bado hawaridhiki. Waacheni waondoke kwan hata tamaduni zao ni tofauti na zetu. Let them go and see what will happen to them thereafter
Mala kwa mala nimekuwa nashangazwa na kile kinachofanywa na huyu mtu wa kule iringa maeneo ya isman hivi yuko kwa ajili ya maslahi ya nani pale bungeni maana kila hoja yenye maana kwa watanzania...
Tunajua SUMATRA wanao wajibu wa kuwafurahisha wanasiasa ambao ndio wakubwa wao lakini hili lisiwe kwa gharama ya wamiliki, madereva na makondakta wa daladala. Juzi ijumaa waliendesha kamata kamata...
Wakuu,
Baada ya kusikia maneno toka kwa wadau mbalimbali, toka magazeti mbalimbali na vyombo vingine vya habari juu ya NINI kilimsibu na NANI anahusika; tumeona ni vema kuwashirikisha video hii...
TATIZO SIO CCM NA WALA SULUHISHO SIO CHADEMA!
Ninachomaanisha hapa ni kwamba matatizo kwenye jamii yetu kama umaskini na kadhalika yapo sio kwa sababu tu eti CCM iko madarakani, la hasha!
Mimi...
Sikubaliani na style ya sasa ya watanganyika kuwaburuta Zanzibar kwa mwavuli wa TANZANIA. Nashauri wakuu wetu wa nchi waangalie possibility ya kuipatia zanzibar hadhi ya nchi kwenye uwakilishi wa EAC.
Usemi huu umenichekesha sana.
Kwa kuwa nilikuwa banned eti kwa kutoa lugha ya matusi basi nafarijika kurudi tena hewani, ila tu nimenyimwa sana nafasi ya kuchangia uozo alioufanya homomate wangu...
Akichangia makadirio ya hotuba ya wizara ya kilimo Mh. Zitto alitoa ufafanuzi namna serikali inavyotaka kutupeleka kwenye matatizo kwa kushadadia suala la GMO kuingizwa Tanzania. Kiukweli Mh...
Kwanini ccm inakataa kujadili mambo ya msingi na haki badala yake wanakimbilia mahakamani?kuna masuala mengi sana hayajajibiwa au kupatiwa ufumbuzi,mfano richmond,deep green,watu waliofukiwa...
Wazee wa Kimasai (MALEIGWANAN) wamepiga marufuku mtu yeyote kufika katika maboma yao kwa ajili ya sensa vinginevyo watakiona cha moto.
Hii ni kutokana na ukweli kuwa serikali imepeleka wawekezaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.